Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Sehemu walizoidh
Sehemu walizoishi Waarabu walikua wanatumia Majini kulinda Mali zao, kwahiyo majini yaka zaliana.Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa malimbwata, n.k.
Tanga
Pwani
Tabora
Lindi
Pemba