Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen

Screenshot_20230529-214754.jpg
 
Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen

View attachment 2639739
Hakuna cha ulinzi hapo zaidi ya kijimwambafai tu basi. Vita ya Ukraine imishamvua pichu kuwa Patriot hakuna kitu zaisi ya midoli tu.

Yemen Saudia na iran zimeisha patana na sasahivk anatafutiwa sababu ya kutimuliwa hapo. USA alikuwa anapika sumu dhidi ya majirani ilo awe na uhakika wa kukaa hapo sasa kaishashitukiwa
 
Hayo unayoongea Saudi Arabia hawayajui. Kwenye Gulf war Saudi Arabia wenyewe waliita Marekani ije kuilinda dhidi ya Saddam Hussein na Marekani ikamtimua Kuwait alikokuwa ashateka nchi.
Wewe Mndendeule wa Songea na sijida yako usoni huwezi elewa haya mambo.

Mwaka 2017 Saudi Arabia ilipoiwekea blockade Qatar, Qatar ikaita Turkey kuilinda na ikanunua silaha Marekani hasa F-16. Huwezi elewa hivi wewe unadhani zile familia za kifalme ni masheikh kumbe wala bata tu hayo mambo yako ya kiimani wala hawayazingatii
 
Hakuna cha ulinzi hapo zaidi ya kijimwambafai tu basi. Vita ya Ukraine imishamvua pichu kuwa Patriot hakuna kitu zaisi ya midoli tu.

Yemen Saudia na iran zimeisha patana na sasahivk anatafutiwa sababu ya kutimuliwa hapo. USA alikuwa anapika sumu dhidi ya majirani ilo awe na uhakika wa kukaa hapo sasa kaishashitukiwa
Urafiki wa Saudia na Iran ni sawa na urafiki wa simba na ng'ombe. Sasa usiniulize simba ni nani na ng'ombe ni nani. Marekani atawamiliki sana ninyi ndg zetu na adui wa muislam ni muislam.
 
Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen

View attachment 2639739
Alikuwa anawagombanisha saudia na iran hili apate tenda ya kuuza silaha na kujifanya anaweka ulinzi sasa hv nchi za saudia na iran zimepatana anahangaika tu.
 
Mara ngapi Saudia anapatanishwa na warabu au na waajemi lakini yy anakuwa wa kwanza kuwageuka. Nasema ivi Saudia ni chawa mkubwa wa US pale Asia akisaidiana na Israel Japan South Korea Kuwait Turkey
 
Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen

View attachment 2639739
Kitu ambacho kajaaliwa mwanaadam ni uwezo wa kufikiri na kuamuwa. Hata malaika hawajapewa uwezo huo.

Mmarekani Saudia Arabia analinda maslahi yake. Ana hisa kubwa sana katika shirika kubwa duniani la uchimbaji mafuta, nalo lipo Saudi Arabia, linaitwa Saudi ARAMCO, Arabian American Company.

Umeelewa. Kijana? Uwepo wake kuilinda Saudi Arabia ni kwa naslahi yake 100%.
 
Back
Top Bottom