We jamaa ni kilaza sana hilo neno "Petro Dollar" pamoja na Uchumi wake wote kuanzia Graph za Uchumi wa mafuta mpaka Assurance waliopewa wazungu kwamba mafuta hayatakuja kuchukua Uchumi wa Dunia yameandikwa na Mtu anaitwa Ibrahim Oweiss, Professor wa Egpty mwenye Uraia pacha na Usa.
Jamaa alikua ndio mshauri wa Uchumi wa Jimmy Carter raisi wa marekani wakati huo na pia alikua mwalimu wa Chuo wa Bill clinton, anakuwa Regarded kama Mchumi mkubwa wa zama zetu.
Hii hapa source kwamba "petrodollar" term imetengenezwa na Oweiss
Kutoka website ya Chuo cha George washighton
Hii hapa source ya graph yake
View attachment 2640552
Graph ipo tofauti kabisa na graph ya demand tulioizoea na hio ndio formula imatumika hadi leo kwenye uuzaji mafuta.
Historia yake
If you ask a CCAS faculty member to name a pioneer in advancing the study of the contemporary Arab world, most will undoubtedly raise the name of Dr. Ibrahim M. Oweiss, professor emeritus at the School of Foreign Service and one of the founding members of CCAS. To honor his immense contributions...
issuu.com