ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kanzu walivaa wakina Musa huko enzi na enzi na Ndevu walifuga, mwanaume ndevu ndio mahali pakeMkivaa hiyo mikanzu na mindevu yenu na kubinuka akili huwahama sana ndio maana mara nyingi huwa mnajilipua.
Kanzu walivaa wakina Musa huko enzi na enzi na Ndevu walifuga, mwanaume ndevu ndio mahali pake
Mimi mndengereko hata suti hazina uhusiano na mimi sio Kanzu tu mbona husemi hizoUliwaona au ulikuwepo? Hata hivyo hayo ni mavazi ya wakati huo huko jangwani, sasa wewe Mndengereko au Msukuma na weusi wote huo umeng'ang'ania likanzu na mindevu eti ufanane mwarabu...hehehe
Mimi mndengereko hata suti hazina uhusiano na mimi sio Kanzu tu mbona husemi hizo
Suti na mjaluo wapi na wapi? wewe vaa majani au ngozi,Suti unavaa kama design au muundo wa nguo, hauvai kwa kuendeshwa na dini eti ufanane na mwarabu au yule mzee wenu wa kugegeda katoto ka miaka 9
Takbiir Takbiir Takbiir πππHayo unayoongea Saudi Arabia hawayajui. Kwenye Gulf war Saudi Arabia wenyewe waliita Marekani ije kuilinda dhidi ya Saddam Hussein na Marekani ikamtimua Kuwait alikokuwa ashateka nchi.
Wewe Mndendeule wa Songea na sijida yako usoni huwezi elewa haya mambo.
Mwaka 2017 Saudi Arabia ilipoiwekea blockade Qatar, Qatar ikaita Turkey kuilinda na ikanunua silaha Marekani hasa F-16. Huwezi elewa hivi wewe unadhani zile familia za kifalme ni masheikh kumbe wala bata tu hayo mambo yako ya kiimani wala hawayazingatii
Mbona hueleweki kisungura kimekukamata aoAllah ni mfarakanishi, Allah ni mgomvi,Allah hapendi ustawi wa jamii, Allah hana NGUVU.
Leo hii uko tayari kuniua kisa kuikashifu dini au kutenda yaliyo kinyume pale mskitini kwako.
Leo hii uko tayari kuoa binti wa miaka 12 na uzee wako huo kisa kufuata alichokifanya mtume wako.
Allah hajakwambia utumie mikono yako abdool?
Kwa nini ufanyie Ibada ndani kwako,yehova hawezi jijengea nyumba mkaabudu humo mpaka mjenge nyie!?..kwa nini utoe fungu la kumi/sadaka ili wale wanaomuhubiri badala ya yeye awalishe wanaohubiri na kugharamia mengine ya kanisa,hakiwezi!?..kwa nini ahubiriwe na watu badala ya kuhubiri mwenyewe huko tumsikie!?Abdoool uko hai kumbe
Yehova ni mwenye upendo sana hata hizo tents sio lazima hatuhitaji mahala ndio maana tunamwabudu Yehova hata kwenye nyumba zetu una hiyo habari?
Fungu la kumi maana yake ni shukrani kwa ulilotendewa na Yehova mathalani mimi mwaka huu nampango wa kutoa fungu la kumi baada ya kufanikisha jambo langu nililolihangaikia kwa miaka takribani sita
Suti na mjaluo wapi na wapi? wewe vaa majani au ngozi,
Kwani kanzu kuna mtu kashikiwa bunduki kuvaa? kila mtu anavaa kwa utashika wake maana dukani anakwenda mwenyewe na pesa ni zake mwenyewe,, wewe mjaluo kuongea kiingereza hakukufanyi kuwa mzungu vaa majani na ngozi kwa maana suti sio vazi la kijaluoHata majani au ngozi nikizivaa kwa kwa utashi wangu kama design sawa, ila sio huo uzombi wa kuvaa mikanzu kisa dini mfanane na lile lizee la kiarabu lililokua linagegeda watoto.
Kwani kanzu kuna mtu kashikiwa bunduki kuvaa? kila mtu anavaa kwa utashika wake maana dukani anakwenda mwenyewe na pesa ni zake mwenyewe,, wewe mjaluo kuongea kiingereza hakukufanyi kuwa mzungu vaa majani na ngozi kwa maana suti sio vazi la kijaluo
Bila.wazungu hata ugunduzi waafuta usingekuwepo.We jamaa ni kilaza sana hilo neno "Petro Dollar" pamoja na Uchumi wake wote kuanzia Graph za Uchumi wa mafuta mpaka Assurance waliopewa wazungu kwamba mafuta hayatakuja kuchukua Uchumi wa Dunia yameandikwa na Mtu anaitwa Ibrahim Oweiss, Professor wa Egpty mwenye Uraia pacha na Usa.
Jamaa alikua ndio mshauri wa Uchumi wa Jimmy Carter raisi wa marekani wakati huo na pia alikua mwalimu wa Chuo wa Bill clinton, anakuwa Regarded kama Mchumi mkubwa wa zama zetu.
Hii hapa source kwamba "petrodollar" term imetengenezwa na Oweiss
Kutoka website ya Chuo cha George washighton
Hii hapa source ya graph yake
View attachment 2640552
Graph ipo tofauti kabisa na graph ya demand tulioizoea na hio ndio formula imatumika hadi leo kwenye uuzaji mafuta.
Historia yake
Celebrating CCAS Pioneer Ibrahim Oweiss - Issuu
If you ask a CCAS faculty member to name a pioneer in advancing the study of the contemporary Arab world, most will undoubtedly raise the name of Dr. Ibrahim M. Oweiss, professor emeritus at the School of Foreign Service and one of the founding members of CCAS. To honor his immense contributions...issuu.com
Nani Issa?Yule aliyedakwa na warumi akiwa na kanzu yake,wakakesha naye usiku Kisha palipokucha wakamvika nepi na kumtundika msalabani...hawakumshughulikia kweli!?
tangu awali, ala hajawahi kujipigania, hana uwezo huo. huwa anahitaji msaada wa wanadamu wampiganie na kumtetea.Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen
View attachment 2639739
Na Bila Middle East invention za Mwanzo ambazo zimekuja kusababisha hayo matumizi ya mafuta zisingekuepo kuanzia spinning wheel, Machine za kupaa, optics na mambo mengine. Spinning wheel ndio Foundation ya Industrial revolution.Bila.wazungu hata ugunduzi waafuta usingekuwepo.
Kanzu ni vazi la Mitume, Yesu vazi lake ni Kanzu, Musa Vazi lake ni Kanzu, Pope Vatican vazi lake ni kanzu, makadinali wanavaa kanzu na watu wengi tu wa dini.Hamnaa mnavaa eti mfanane na lile lizee la kiarabu lililogegeda watoto bila aibu.....
πππππππππKwa hiyo kafiri analinda mji mtakatifu??
Dah...
Kanzu ni vazi la Mitume, Yesu vazi lake ni Kanzu, Musa Vazi lake ni Kanzu, Pope Vatican vazi lake ni kanzu, makadinali wanavaa kanzu na watu wengi tu wa dini.
Ni ngumu sana kujua Vizazi vilivyopita Vilivaa nini?Uliwaona wamezivaa? Hata hivyo hizo zilikua tamaduni za watu enzi zile wewe Mndengereko mpaka leo umeng'ang'ania likanzu na kuota mindevu ufanane na huyo mwarabu ambaye hakua na mstaarabu kwa hulka zake za kugegeda katoto ka miaka 9 mara anyonye ulimi wa wavulana.
Ni ngumu sana kujua Vizazi vilivyopita Vilivaa nini?
View attachment 2643025
Hivi ndio waivyovaa, na wala usiende mbali angalia biblia yako mwenyewe kila kitu kimeandikwa.