Wewe unaefanya kazi ngumu unamiliki nini katika mali au wewe ni tajiri wa ngapi nchi hii,mwanaume unashangaa ndevu kweli ushoga mbaya jamani yaani unajiita mwanaume unachukia ndevu?Mwarabu aliwafundisha kufuga ndevu ,kutoboa pua, kuvaa kanzu hata dini yao inapenda starehe huku bikra 72 huku mito ya pombe
Mwarabu afuate nini ukuryani!?.. mwarabu alikua mfanya biashara,alifata meno ya tembo na watumwa Kongo,tabora,kigoma...huko Nako watu wavivu!?Hizo kabila asili yao ni uvivu tu usilaumu mwarabu bure. Waarabu waarabu walikubaliwa/walipenya kwa wavivu. Umasaini na ukuryani hakuna mwarabu alikanyaga huko. Hizo ndo kabila za kiume/ngangari
Kwamba wachaga wanalima Sana kuliko wanyamwezi,pwani ardhi mchanga,shughuli yao uvuvi na kilimo Cha minazi,we ulitaka walime mahindi mchangani!?Wakuu habari zenu,
Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.
Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo, sijui kulima hakuna! Ukileta leo watu kesho wanakukimbia no wonder kuna umaskini wa kutupa maeneo haya ilhali kasi ya kuzaliana ni zaidi ya lile bando la 4G la Vodacom. Hali hii haina tofauti na kule Tanga, na maeneo mengi alikopita Mwarabu! Najiuliza tatizo hasa ni nini? Mwarabu aliacha nini huko au ni laana ya mwarabu?
kwani wewe umeambiwa waarabu walienda wapiMwarabu afuate nini ukuryani!?.. mwarabu alikua mfanya biashara,alifata meno ya tembo na watumwa Kongo,tabora,kigoma...huko Nako watu wavivu!?
Kata govi,linakuondolea uelewakwani wewe umeambiwa waarabu walienda wapi
huku tarime tupo tayari kufa ila siyo kwenda utumwani/kuonewa
Em tuliza uchoko wako basi, mbona kama unawashwa sana.Wakati wanasubilia mwezi wasipokuita shoga nipo hapa nyuma ya keyboard kusubilia kuachanisha ugomvi😳😳😳
Aina ya vyakula wanavyokula, mfano urojo, sembe badala ya dona, mlendaWakuu habari zenu,
Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.
Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo, sijui kulima hakuna! Ukileta leo watu kesho wanakukimbia no wonder kuna umaskini wa kutupa maeneo haya ilhali kasi ya kuzaliana ni zaidi ya lile bando la 4G la Vodacom. Hali hii haina tofauti na kule Tanga, na maeneo mengi alikopita Mwarabu! Najiuliza tatizo hasa ni nini? Mwarabu aliacha nini huko au ni laana ya mwarabu?
Kwa mantiki hiyo naye ni mvivu.Hawana shida ya maisha, wana uhakika wa kula kwann wafanyishwe kazi za kijinga, eti kuchimba mashimo si uchimbe wewe kama rahisi.
Hii imekuingia kweli kweli Adolph Jr wamesha sema tayari mambo ya ushogaWewe unaefanykazi ngumu unamiliki nini katika mali au wewe ni tajiri wa ngapi nchi hii,mwanaume unashangaa ndevu kweli ushoga mbaya jamani yaani unajiita mwanaume unachukia ndevu?
Unajiita mwanaume unachukia mwanamke alie toboa pua hata hao wazungu unaotamani kula mavi yao mbona wanatoa pua? hii sio chuki bali ushamba unakusumbua
Kazi ya Wapemba/Wazanzibar ni upishi,hiyo ya kukoroga zege ni kazi ya Wanyamwezi.Umewasahau wapemba aisee ni wavivu balaa
Nina shamba nimelitelekeza tanga baada ya kukosa wafanyakazi. Yaani nilikuwa nikitaka kulima, inanibidi nikawatafute wafanyakazi DodomaWakuu habari zenu,
Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.
Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo, sijui kulima hakuna! Ukileta leo watu kesho wanakukimbia no wonder kuna umaskini wa kutupa maeneo haya ilhali kasi ya kuzaliana ni zaidi ya lile bando la 4G la Vodacom. Hali hii haina tofauti na kule Tanga, na maeneo mengi alikopita Mwarabu! Najiuliza tatizo hasa ni nini? Mwarabu aliacha nini huko au ni laana ya mwarabu?
umeanzaWanakula kwako?
mbona kama unatokwa povu?Hawana shida ya maisha, wana uhakika wa kula kwann wafanyishwe kazi za kijinga, eti kuchimba mashimo si uchimbe wewe kama rahisi.
Ndio kusema wame muiga muarabu kwa uvivu?je ni kweli waarabu ni wavivu? Muarabu kapita tabora Shinyanga sherui kinampanda singinda mbona watu hao mfano wanayamwezi kazi ngumu mpe myamwezi wasukuma mpaka sasa hakuna kabila lilo vunja lekodi kwa kuchapa kazi kama wasukuma haya wanyiramba wa singinda sherui ni wachapa kazi haswa hata hao waarabu ni wachapa kazi ukwasi wao tunauona hao watu wa pwani labda unawapunja ndio maana wanakukimbia unataka wakufanyie kazi ya sh 20000 kwa sh 5000 hiyo ndio tabia ya wabongo wakifika sehemu yenye watu wenye dhiki lakini watu wa kutwa ndio wanao ongoza kwa kuzalisha nazi safi hata soko la mihogo dar wamelishika wao.
Tutajie kabila lako na mkoa wako hili tulinganishe.
Yakupasa ujue jinsi wanavyoishi. Wanategemea shughuli zipi kiuchumi. Ni uvuvi au kulima?Wakuu habari zenu,