Kwanini mikoa iliyotawaliwa na Mwarabu watu wake ni wavivu balaa?

Kwanini mikoa iliyotawaliwa na Mwarabu watu wake ni wavivu balaa?

Siku technolojia ya umeme itakapo shika hatamu kwenye magari na mafuta yakakosa thamani basi wajamaa watakuwa wanatafuna ndevu walizozifuga kama chakula maana hakuna kazi ya nguvu au akili wanayoiweza
 
Yakupasa ujue jinsi wanavyoishi. Wanategemea shughuli zipi kiuchumi. Ni uvuvi au kulima?
Hata kama wanalima, ni kilimo cha aina gani kwa mazao gani.
Watu wa Pwani wanaotegemea uvuvi na kilimo cha mazao kama minazi usitegemee wakawa hodari kwenye kuchimba mashimo kitu ambacho ni rahisi sana kwa watu wa Bara bila kujali kama mi Waislam au Wakristo.
Jipe muda kujua background za watu kwa maeneo tofauti tofauti. Ni kama umlete wa Bara katoka sehemu hakuna hata mito waje Pwani kuvua samaki! Wataonekana wavivu !
Wanataka washike majembe ndio uhodari.
Karne hii watu wanaunda hadi roboti za kufikiria kwa niaba yao kuna watu bado wanawaza kufanya kazi ngumu.
Mwafrika ataacha lini ujinga.
Wazungu walichukua watu utumwani ili wawatumikishe, baadae wakaunda mashine ziwasaidie kazi ili waendeleze uvivu wao.
Leo kuna mtu anataka watu wa pwani waache uvivu wafanye kazi ngumu.
Mi mwenyewe sipendi kazi ngumu, nitaka niwaige wapwani.
Kazi ngumu ni u primitive, watu wa pwani waliacha u primitive miaka mingi.
Umwinyi ni mfumo wa kuwatumikisha wengine. Endeleeni kuwadharau huku nyie mkizeeka wao wakinawiri.
 
Maisha yanapokuwa rahisi ni lazima uvivu utamalaki. Kila kitu bure Kazi ya nini. Hawahitaji Kazi Ili wale. Kuni, maji bure,vyakula tele kwa bei chee, hawawazi kusomesha kwann wawaze kazi
Mikoa yote wanawalimia watu wa pwani. Viongozi wote wanawaza kuwajengea watu wa pwani.
Maji kusumbua kidogo mwaka jana mabonde yote watu wamepigwa ban kuvuta naji mashambani ili pwani wapate maji wakati bara kuna miji hawajui maji ya bomba.

Pwani iliendelea tangu karne ya 7 bara karne ya 19. Watu wanasoma elimu gani?
 
Mlenda mlenda sana na wanapenda maisha ya short cuts success kama;

• Kupiga dili kazini.

• Kupitisha magendo.

• Kuwa punda wa unga.

• Kuwa Punga.

NB:

Kiuhalisia Me ameumbwa kiukakamavu ndiyomaana hata baadhi ya kazi huwezi kupata jinsi Ke wengi kama Ukomandoo.

Me mlaini laini kama sponchi jitafakari zaiina uchukue hatua/ubadilike.
Magendo wanafanya wakina nani?

Ova
 
Eti wapemba wavuvu!
Nani kakuambia....

Ova
 
Mikoa yote wanawalimia watu wa pwani. Viongozi wote wanawaza kuwajengea watu wa pwani.
Maji kusumbus kidogo mwaka jana mabonde yote watu wamepigwa ban kuvuta naji mashambani ili pwani wapate maji wakati bara kuna miji hawajui maji ya bomba.

Pwani iliendelea tangu karne ya 7 bara karne ya 19. Watu wanasoma elimu gani?

Aiseee
 
Mikoa yote wanawalimia watu wa pwani. Viongozi wote wanawaza kuwajengea watu wa pwani.
Maji kusumbua kidogo mwaka jana mabonde yote watu wamepigwa ban kuvuta naji mashambani ili pwani wapate maji wakati bara kuna miji hawajui maji ya bomba.

Pwani iliendelea tangu karne ya 7 bara karne ya 19. Watu wanasoma elimu gani?

Hii ni kwasababu ya chama tawala kimejaa waislamu ndo maana huduma za kijamii wanawapelekea wao. Waislamu bila serikali msingekuwa hapo mlipo nenda kenya uone jinsi waislamu wanavyohaha
 
Mwanza, Shinyanga na Tabora kuna maeneo mengi tu yanakaliwa na waarabu toka enzi hadi sasa na ni showshow.

Huo ukanda wa Pwani ni jamii nyoronyoro tu by nature
 
Hii ni kwasababu ya chama tawala kimejaa waislamu ndo maana huduma za kijamii wanawapelekea wao. Waislamu bila serikali msingekuwa hapo mlipo nenda kenya uone jinsi waislamu wanavyohaha
Acha uongo. Nyerere,Mkapa, Magu sio waislamu ila waliwekeza kuijenga pwani.
Pwani haikwepeki, utaipenda tu. Ba ukirnda huko hao unaowaita wavivu watakuuxua ardhi nawe uwe mwana pwani.
CCM ni chama cha makabila yote.
 
Wakuu habari zenu,

Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.

Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo, sijui kulima hakuna! Ukileta leo watu kesho wanakukimbia no wonder kuna umaskini wa kutupa maeneo haya ilhali kasi ya kuzaliana ni zaidi ya lile bando la 4G la Vodacom. Hali hii haina tofauti na kule Tanga, na maeneo mengi alikopita Mwarabu! Najiuliza tatizo hasa ni nini? Mwarabu aliacha nini huko au ni laana ya mwarabu?
Ni ujinga tu ndiyo unawasumbua......weee umeona wapi mtu anaamka asubuhi anakwenda kushinda msikitini au kijiweni akipiga story, hataki kufanya kazi ila anaona bora ashinde akisali mara 5 kwa siku na kujifanya mgogo (kuomba hela kila kukicha). Tabia hii ya kijinga imeshamiri sana Kigoma, Tabora, Mtwara, Lindi, Zanzibar, Pemba, na hata wakazi wa Dar na Pwani wanaowaza kwenda ngomani kila kukicha. Kwao kitu cha muhimu ni ngoma na kushinda misikitini.
 
Kuchimba mishimo, Kama we sio mvivu chimba wewe, tuache kuvua samaki, na kulima nanasi kupalilia mihogo, tushobokee kazi ya msimu.
 
Nyie watu wa bara endeleeni na kazi zenu za kitumwa, mnajisifu kwa kufanya kazi ngumu huo ni ujinga.
 
Wakuu habari zenu,

Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.

Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo, sijui kulima hakuna! Ukileta leo watu kesho wanakukimbia no wonder kuna umaskini wa kutupa maeneo haya ilhali kasi ya kuzaliana ni zaidi ya lile bando la 4G la Vodacom. Hali hii haina tofauti na kule Tanga, na maeneo mengi alikopita Mwarabu! Najiuliza tatizo hasa ni nini? Mwarabu aliacha nini huko au ni laana ya mwarabu?
Maganzo kahama tinde nzega tabora Sekenke singida iyambi singida ujiji igunga,haya ni baadhi ya maeneo wakiishi waarabu lakini watu hawa ni wapambanaji sana sijui unapo sema unaposema mikio iliotawaliwa na waarabu heti ni wavivu maana yako nini?fafanua tukelewe pia na wewe ututajie mkoa wako tuujue
 
Zile kazi za kuwa ma boi kwenye nyumba za waarabu zimewaathiri sana zilikuwa ndio kazi zao vizazi na vizazi kuwatumikia waarabu
 
Mikoa yote wanawalimia watu wa pwani. Viongozi wote wanawaza kuwajengea watu wa pwani.
Maji kusumbua kidogo mwaka jana mabonde yote watu wamepigwa ban kuvuta naji mashambani ili pwani wapate maji wakati bara kuna miji hawajui maji ya bomba.

Pwani iliendelea tangu karne ya 7 bara karne ya 19. Watu wanasoma elimu gani?

Ni kweli Waarabu alikuwepo pwani ya Tanzania tangu karne ya 7 (650 A. D.) walieneza dini tu tena kwenye nyumba za makuti hasa mjini na vijijini na Wazungu tangu karne ya 19 (1868 A. D.) Waarabu hawakujenga Maskuli, hawakujenga hospitali wala barabara! Wazungu walijenga shule, hospitali, makanisa, reli!
 
Back
Top Bottom