Kwanini mikoa ya Kusini na Kati haipo active kwenye power ukiwaondoa Wanyakyusa?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1694205410674.png

Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.

Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.

Ila sasa huku mikoa ya kanda za kusini na kati kwanini kumepoa, sana sana utawakuta viongozi wa msimu na kwenye suala la succession & growth of power wapo nyuma sana.

Yaani hata uje kwa wanyamwezi wa Tabora, wasukuma jamii za mikoa ya kati, wafipa wa sumbawanga, wasafwa wa Mbeya, wangoni wa Ruvuma, Wahehe wa Iringa, Wakinga wa Njombe, Wabena, wagogo wa dodoma, unaona bado pana tatizo.
 
Power ipi?? Kwamba Lindi na mtwara tutajie mtu wa maana naapa 1 tu.ukitaja majaliwa nakuchapa membe ni vibao
 
Itakua tatizo ni Tanesco ndio maana hawana power...🙄
 
Wanatuita wakonongo,ila CDA waliwapa viwanja wakauza baadae wakadai wamezulumiwa.
 
Kama humjui tuntemeke sanga ni kama kusema humjui Mayers na unajua mpira wa tanzania.unamjuia Adam sapi mkwawa??
Sawa nimemuona hapa naona ni mkinga bila shaka, Tatizo linakuja kwa huu ukanda kuwa na miundombinu hafifu ya kuendeleza hizi legacy, Ilibidi kuwe na wakinga wengine hata watatu wanaoendeleza alipoishia
 
Yupo Mahenge Dr
 
View attachment 2743601

Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.

Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.

Ila sasa huku mikoa ya kanda za kusini na kati kwanini kumepoa, sana sana utawakuta viongozi wa msimu na kwenye suala la succession & growth of power wapo nyuma sana,

Yaani hata uje kwa wanyamwezi wa Tabora, wasukuma wa huku mikoa ya kati, wafipa wa sumbawanga, wasafwa wa Mbeya, wangoni wa Ruvuma, Wahehe wa Iringa, Wakinga wa Njombe, Wabena, wagogo wa dodoma, unaona bado pana tatizo.
"Power" si LAZIMA nafasi ya URAIS ,MAKAMU WA RAIS ,WAZIRI MKUU ....

Kanda zote zina mawaziri kila awamu ya uongozi.....

Kanda zote zina RC's ,DC's ,RAS,WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ,DAS's kila awamu ya uongozi.....

Ndg.Job Ndugai ametoka Dodoma...

Mh.Kassim Majaliwa ametoka Kusini.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Sawa nimemuona hapa naona ni mkinga bila shaka, Tatizo linakuja kwa huu ukanda kuwa na miundombinu hafifu ya kuendeleza hizi legacy, Ilibidi kuwe na wakinga wengine hata watatu wanaoendeleza alipoishia
Waziri wa kwanza wa nyerere wa fedha alikuwa mkinga .mkurugenzi usalama wa kwanza mbena .
 
Ila wanyakyusa wameibeba sana hiyo kanda

Mwandosya
Mwang'onda
Mwakyusa huyu alikua daktari pale ikulu
 
Power ipi.

Huko kote mbona kuna wabunge hadi wenyeviti wa Vitongoji.
 
Iringa na Njombe ni mikoa iliyojaza watu wengi mno kwenye mfumo. Shida kubwa ya wagayasida ni kupenda kukunjiana, yaani korosho bin korosho.
 
NI WABINAFSI WA MADARAKA HAWATAKI KUWAINUA WENZAO WANATAKA WAWEPO PEKE YAO KWENYE POSITION
 
View attachment 2743601

Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.

Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.

Ila sasa huku mikoa ya kanda za kusini na kati kwanini kumepoa, sana sana utawakuta viongozi wa msimu na kwenye suala la succession & growth of power wapo nyuma sana,

Yaani hata uje kwa wanyamwezi wa Tabora, wasukuma jamii za mikoa ya kati, wafipa wa sumbawanga, wasafwa wa Mbeya, wangoni wa Ruvuma, Wahehe wa Iringa, Wakinga wa Njombe, Wabena, wagogo wa dodoma, unaona bado pana tatizo.
Kanda ya kusini wapo busy sana kutafuta noti..... Greyson Msigwa anatutosha.

Haya hao viongozi wenu wa juu, kwenye mikoa yenu.. Wamewasaidia nini??, Zaidi ya kuuza bandari yetu 😡😡
 
View attachment 2743601

Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.

Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.

Ila sasa huku mikoa ya kanda za kusini na kati kwanini kumepoa, sana sana utawakuta viongozi wa msimu na kwenye suala la succession & growth of power wapo nyuma sana,

Yaani hata uje kwa wanyamwezi wa Tabora, wasukuma jamii za mikoa ya kati, wafipa wa sumbawanga, wasafwa wa Mbeya, wangoni wa Ruvuma, Wahehe wa Iringa, Wakinga wa Njombe, Wabena, wagogo wa dodoma, unaona bado pana tatizo.
Wanyakyusa tunakula na kushiba!
 
Back
Top Bottom