Kwanini mikoa ya Kusini na Kati haipo active kwenye power ukiwaondoa Wanyakyusa?

Kwanini mikoa ya Kusini na Kati haipo active kwenye power ukiwaondoa Wanyakyusa?

Hivi Kambona na Tuntemeke ni wa wapi? Hivi Mkwawa(Adam Sapi) na Chongolo vipi? Unamjua aliyewacharaza wahaya viboko wewe.? Chalamila na Mwamwindi kiboko ya wachaga je? Msigwa na Anna Abdala/ Makinda wanatokea wapi vile?

Au haujui tu!
 
Back
Top Bottom