sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kama humjui tuntemeke sanga ni kama kusema humjui Mayers na unajua mpira wa tanzania.unamjuia Adam sapi mkwawa??Hata mwanamuziki wa shule niliyosoma namjua na namkubali hadi leo ila tatizo hajafikia levo za taifa
Sawa nimemuona hapa naona ni mkinga bila shaka, Tatizo linakuja kwa huu ukanda kuwa na miundombinu hafifu ya kuendeleza hizi legacy, Ilibidi kuwe na wakinga wengine hata watatu wanaoendeleza alipoishiaKama humjui tuntemeke sanga ni kama kusema humjui Mayers na unajua mpira wa tanzania.unamjuia Adam sapi mkwawa??
Yupo Mahenge DrSawa nimemuona hapa naona ni mkinga bila shaka, Tatizo linakuja kwa huu ukanda kuwa na miundombinu hafifu ya kuendeleza hizi legacy, Ilibidi kuwe na wakinga wengine hata watatu wanaoendeleza alipoishia
"Power" si LAZIMA nafasi ya URAIS ,MAKAMU WA RAIS ,WAZIRI MKUU ....View attachment 2743601
Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.
Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.
Ila sasa huku mikoa ya kanda za kusini na kati kwanini kumepoa, sana sana utawakuta viongozi wa msimu na kwenye suala la succession & growth of power wapo nyuma sana,
Yaani hata uje kwa wanyamwezi wa Tabora, wasukuma wa huku mikoa ya kati, wafipa wa sumbawanga, wasafwa wa Mbeya, wangoni wa Ruvuma, Wahehe wa Iringa, Wakinga wa Njombe, Wabena, wagogo wa dodoma, unaona bado pana tatizo.
Waziri wa kwanza wa nyerere wa fedha alikuwa mkinga .mkurugenzi usalama wa kwanza mbena .Sawa nimemuona hapa naona ni mkinga bila shaka, Tatizo linakuja kwa huu ukanda kuwa na miundombinu hafifu ya kuendeleza hizi legacy, Ilibidi kuwe na wakinga wengine hata watatu wanaoendeleza alipoishia
Kanda ya kusini wapo busy sana kutafuta noti..... Greyson Msigwa anatutosha.View attachment 2743601
Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya.
Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi.
Ila sasa huku mikoa ya kanda za kusini na kati kwanini kumepoa, sana sana utawakuta viongozi wa msimu na kwenye suala la succession & growth of power wapo nyuma sana,
Yaani hata uje kwa wanyamwezi wa Tabora, wasukuma jamii za mikoa ya kati, wafipa wa sumbawanga, wasafwa wa Mbeya, wangoni wa Ruvuma, Wahehe wa Iringa, Wakinga wa Njombe, Wabena, wagogo wa dodoma, unaona bado pana tatizo.
Wanyakyusa tunakula na kushiba!View attachment 2743601