Kwanini 'military takeovers' zimerudi kwa kasi Afrika?

Hadi vita vya urusi na Ukrainian viishe,bado nchi kadhaa kwa mapinduzi.
Ile vita ni geresha tu ili tuizingatie wakati huo wanapandikiza mamluki wao Afrika.
 
Unampindua Mugabe unaweka Mnanangwa!!.. hayo mapinduzi yote ni ya kipumbavu.
 
Mimi kuzaliwa Afrika nachukulia kama Ajali ( Accident),

Bongo bahati mbaya in ( Young Dee voice)

Kwa sababu nimesoma Historia nzima ya waafrika, Tabia zao, Maisha yao na Mienendo yao ya kila siku.

Na nime thibitisha pasi shaka kwamba [emoji116]

Waafrika wana upumbavu wa milele.

Kama umewahi fika ughaibuni na kuishi uta tambua hili.
mwana eeh!!!!...nenda kaishi afghanstan au korea ya kaskazini au nenda iran kaka mkubwa,,,,alaf ukiwa iran au afghanstan,,,kunywa pombe hadharani.......................auuuuu!!! nenda ulaya au amerika kule kuna uhuru sana,,,,unaweza ukaliwa kiboga na maisha yakaenda....nenda ulaya ukaolewe kama unaona afrika kubaya,,,,unamsubiri mumeo arudi kazini alaf mnakumbatiana au sio!!!!
 
Ulivyo mjinga na jinsi waafrika wengi mlivyo wajinga mkisikiaga kuhusu Amerika na ulaya basi vichwani mwenu automatically mnawazaga ushoga.

Lack of exposure. Mmejazana ujinga vichwani mwenu.
 
Kama Trump alivyosema, Africa inatakiwa kukaliwa upya kwa mfumo wa ukoloni, na biashara ya utumwa yapaswa kurejeshwa ikiwalenga watu wa Africa ambao wameonyesha udhaifu mkubwa kujitawala licha ya kupewa misaada lukuki.
 
Unaambiwa Kagame anajiandaa kugombea tena, unadhani hii inaleta picha gani kwa democratic ya magharibi.
Museven ndo huyo unayemuona hayuko tayari kuachia madaraka labda afie humo na tena anamuandaa kijana wake.

Njoo hapa kwetu CCM inajiandaa kushinda hata kwa bai la mkono. .
 
Back
Top Bottom