Unawashwa wewe! Sifa nzuri za mtu kuexpose humu kwangu sioni ubaya ila zingekua mbaya nisingefanya hivyo.Acha kumsifia huyo hakuna mtu anaye jua mtu humu then aje expose maisha yake hadharani. Wewe unataka mumpa Kiki wanaume tumparamie tu
Mbona umeropoka udwanzi? πUnawashwa wewe! Sifa nzuri za mtu kuexpose humu kwangu sioni ubaya ila zingekua mbaya nisingefanya hivyo.
Nilichoongea nina uhakika nacho 99%
Sasa mnaniparamiaje mie wakawaida ila sina njaa mwaya .Acha kumsifia huyo hakuna mtu anaye jua mtu humu then aje expose maisha yake hadharani. Wewe unataka mumpa Kiki wanaume tumparamie tu
Umulipue nani wewe mwanamke usiye na haya kazi kutaka kupiga watu mizinga?Sasa mnaniparamiaje mie wakawaida ila sina njaa mwaya .
Ila nahitaji mtu anayeeleweka ika sio humu .
Kaa kwa kutulia basi kidogo nikulipue
Kinakuuma nini ?? Mi wakikeUmulipue nani wewe mwanamke usiye na haya kazi kutaka kupiga watu mizinga?
Ndio kwani nimesema wewe wa kiume.Kinakuuma nini ?? Mi wakike
Unampa muda, upendo na unamjali, mbona haya hayahitaji kununuliwa kwa pesa, maana na yeye anakupa huo muda wake, upendo na anakujali mbona wewe hutoi pesa.MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Tatizo nyie sio waelewa ndio maana ninanyamazaga tu akili yenu haina mashiko so sina muda wakuwaelekezaAcha kulazimisha watu wawe na wewe kwa kutumia ushawishi wa kutoa toa vitu hovyo.
Afe tu hana maana ya kuishi bila helaπKama hana?
Nataka tu kujua hiyo PhD kirefu chakeNa hiyo ndio maana halisi ya jobless,, nina ka PhD kangu kananiweka mjini
Njoo Dm nikushauri zaidiMSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
Potential heavily DrinkerNataka tu kujua hiyo PhD kirefu chake
Je ni Please Hire. Desperate
Au
Potential heavily Drinker ππππ
Jitahidi kukata kiuno, usilale kama gogoMSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu .
MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu.
YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa .
yaani mawazo yenu yatasaidia
WapiJitahidi kukata kiuno, usilale kama gogo
Utani wa ngumi huu! πMleta Uzi kumbe ndiye Tate π