Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

Kuna jamaa aliniambia unajipakulia minyama. Kumbe ni muongo tu!
 


1. Mpe mambo mpe mahaba ya dhati mpe mapenzi ya dhati...... si kitandani tu bali kuanzia tabia jinsi unavyoishi nae na kadhalika
 
Da Mau kuna shemeji humu alisema eti huna antenna..!! 😹
 
Hapo ndipo mnapokosea, yaan mtu anafikiri kwamba kupendwa ni kutokufikiri sawa sawa, sasa huyo jamaa anawaza sawa sawa ndiyo maana unaona yeye ni mbinafsi, na hataki kujifanya Hawazi sawa sawa.
 
Tafuta pesa mkuu. Punguza makasiriko na kutegemea vya kupewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…