Kwanini misiba ya viongozi wengi wa Waafrika inaombolezwa kwa muda mrefu zaidi kuliko mataifa ya nje

Mbinu ni ileile ya kuidhoofisha Afrika na kuitawala kwa namna moja au nyingine.

Taifa linatumia muda mrefu na fedha lukuki na nguvu kubwa kufanya vitu visivyo na maana.

Ni sahihi kusema kwamba mchawi wa maendeleo ya Waafrika ni Waafrika wenyewe. Mzungu ni mnufaika tu.

Huo ndio mwelekeo wa nchi yoyote isiyokuwa na malengo thabiti na viongozi wenye maono na weledi.
 
Wale wanaobaki pia wanautumia msiba kama njia ya upigaji....this is afrika
 
Mbinu ni ileile ya kuidhoofisha Afrika na kuitawala kwa namna moja au nyingine.

Taifa linatumia muda mrefu na fedha lukuki na nguvu kubwa kufanya vitu visivyo na maana.

Ni sahihi kusema kwamba mchawi wa maendeleo ya Waafrika ni Waafrika wenyewe. Mzungu ni mnufaika tu.

Huo ndio mwelekeo wa nchi yoyote isiyokuwa na malengo thabiti na viongozi wenye maono na weledi.
Mkuu kwani unaposikia maombolezo ya siku 21 akilini mwako inakujia nini? ...... ni bendera kupepe nusu mlingoti kwa siku 21 tu mkuu, au unadhani shughuli zote zinasiamama kuomboleza

Wewe unasumbuliwa na inferiority complex, sio kila kitu ni kibaya as long as kinafanywa na Mwafrika, zingine ni mila desturi na tamaduni zetu zinazo onyesha utu wetu,

Kila mwaka tunapoteza siku kadhaa kwaajili ya kuomboleza kifo cha yesu au mtume miaka zaidi ya 400 iliyopita ila kwa wewe it’s fine as long as ni desturi tumeletewa na wazungu
 
Nonsense
 
Back
Top Bottom