Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Kwanza kwa Iran siku tano zilikuwa nyingi sana kwani wenzetu Waislamu hawana mambo mengi.Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1]
vs
Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2]
Soma zaidi:
1. Iran yatangaza siku 5 maombolezi kifo cha Raisi
2. Malawi yatangaza siku 21 za maombolezi kifo cha makamu wa raisi.
Si wanatumia pesa za umma?Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1]
vs
Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2]
Soma zaidi:
1. Iran yatangaza siku 5 maombolezi kifo cha Raisi
2. Malawi yatangaza siku 21 za maombolezi kifo cha makamu wa raisi.
Wale wanaobaki pia wanautumia msiba kama njia ya upigaji....this is afrikaMbinu ni ileile ya kuidhoofisha Afrika na kuitawala kwa namna moja au nyingine.
Taifa linatumia muda mrefu na fedha lukuki na nguvu kubwa kufanya vitu visivyo na maana.
Ni sahihi kusema kwamba mchawi wa maendeleo ya Waafrika ni Waafrika wenyewe. Mzungu ni mnufaika tu.
Huo ndio mwelekeo wa nchi yoyote isiyokuwa na malengo thabiti na viongozi wenye maono na weledi.
Sisi hatuna mambo mengi, hatupo busy kivileRais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1]
vs
Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2]
Soma zaidi:
1. Iran yatangaza siku 5 maombolezi kifo cha Raisi
2. Malawi yatangaza siku 21 za maombolezi kifo cha makamu wa raisi.
Mkuu kwani unaposikia maombolezo ya siku 21 akilini mwako inakujia nini? ...... ni bendera kupepe nusu mlingoti kwa siku 21 tu mkuu, au unadhani shughuli zote zinasiamama kuombolezaMbinu ni ileile ya kuidhoofisha Afrika na kuitawala kwa namna moja au nyingine.
Taifa linatumia muda mrefu na fedha lukuki na nguvu kubwa kufanya vitu visivyo na maana.
Ni sahihi kusema kwamba mchawi wa maendeleo ya Waafrika ni Waafrika wenyewe. Mzungu ni mnufaika tu.
Huo ndio mwelekeo wa nchi yoyote isiyokuwa na malengo thabiti na viongozi wenye maono na weledi.
NonsenseMkuu kwani unaposikia maombolezo ya siku 21 akilini mwako inakujia nini? ...... ni bendera kupepe nusu mlingoti kwa siku 21 tu mkuu, au unadhani shughuli zote zinasiamama kuomboleza
Wewe unasumbuliwa na inferiority complex, sio kila kitu ni kibaya as long as kinafanywa na Mwafrika, zingine ni mila desturi na tamaduni zetu zinazo onyesha utu wetu,
Kila mwaka tunapoteza siku kadhaa kwaajili ya kuomboleza kifo cha yesu au mtume miaka zaidi ya 400 iliyopita ila kwa wewe it’s fine as long as ni desturi tumeletewa na wazungu