Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Bidhaa mpya inakuwa na thamani kuliko bidhaa iliyochakaa
Wakati mwingine ni tamaa tu za sisi wanaume.ukishaona mtu anatafuta jiko jengine jua la awali linamapungufu fulani
Upendo unahamia kwa anayefuata.Vipi wale wanaoongeza mke wa tatu then wa nne
Nimelia sana kuhusu mke mdogo yani hadi nimegalagala chiniWhy umelia au Kuna magumu umepitia ndugu
Mi naonaga wake wadogo kazi yao kubwa ni kuvuruga amani waliyoikuta yaani they totally destroy everything mpaka baba anawachukia watoto aliozaa na mke mkubwa kwa upendo wooote.Nimelia sana kuhusu mke mdogo yani hadi nimegalagala chini
Na kuna wengine wanaitwa bi wadogo ila unakuta kachukuliwa ana watoto wanne nyumbani kwao, afu kwenye maisha kuna stage inafikia ngono sio kipaumbele sana juu ya kujenga familiaKipya kinyemi, nani ataendelea kupenda mkongwe wakati umevuta kitu kipya, kina nguvu za kukimbia mita mia. Bi mkubwa anakuwa zilipendwa, alee watoto na wajukuu tu, hata shoo hawezi tena, kazeeka
kwa hili la kufanya ngono uzeeni ifike muda mtu astaafu kufanya tendo hilo kama tayari ana watoto wa kutoshaNa kuna wengine wanaitwa bi wadogo ila unakuta kachukuliwa ana watoto wanne nyumbani kwao, afu kwenye maisha kuna stage inafikia ngono sio kipaumbele sana juu ya kujenga familia
Weka picha au video kwa faida ya members...Nimelia sana kuhusu mke mdogo yani hadi nimegalagala chini
Nimekutumia video pm kwa faida yakoWeka picha au video kwa faida ya members...
Imefika haki sitoi connection...Nimekutumia video pm kwa faida yako