Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

Kipya kinyemi, nani ataendelea kupenda mkongwe wakati umevuta kitu kipya, kina nguvu za kukimbia mita mia. Bi mkubwa anakuwa zilipendwa, alee watoto na wajukuu tu, hata shoo hawezi tena, kazeeka
 
Bi wadogo wanakuwaga wamejiandaa kivingine hadi watoto wakubwa wa ujanani wanakanwa na baba zao hazarani famasiala nini!
 
Nimelia sana kuhusu mke mdogo yani hadi nimegalagala chini
Mi naonaga wake wadogo kazi yao kubwa ni kuvuruga amani waliyoikuta yaani they totally destroy everything mpaka baba anawachukia watoto aliozaa na mke mkubwa kwa upendo wooote.
 
Mara nyingi kama sio zote watu huamua kuongeza mke wa pili kutokana na mapungufu ya mke mkubwa ambayo ameshindwa kuyaweka sawa........

Yale malalamiko ya mara kwa mara ya kuhusu jambo moja huwa yanachosha na kupunguza upendo kwa kiasi kikubwa sasa ili mtu aisonekane muhuni na kama Imani inamruhusu ndio anaongezea mke mwingine.......

Sasa kama unavyojua kipya kinyemi na kama mwanaume hawezi kuchunga nidhamu basi atajikuta anaegemea upande mmoja jambo ambalo dini inakataa
 
Kipya kinyemi, nani ataendelea kupenda mkongwe wakati umevuta kitu kipya, kina nguvu za kukimbia mita mia. Bi mkubwa anakuwa zilipendwa, alee watoto na wajukuu tu, hata shoo hawezi tena, kazeeka
Na kuna wengine wanaitwa bi wadogo ila unakuta kachukuliwa ana watoto wanne nyumbani kwao, afu kwenye maisha kuna stage inafikia ngono sio kipaumbele sana juu ya kujenga familia
 
Sasa kama alikua anamdarau Baba yako na kule kwa Bi mdogo anamuheshimu Baba yako kwanini asimpende Bi mdogo?
 
Sasa kama alikua anamdarau Baba yako na kule kwa Bi mdogo anamuheshimu Baba yako kwanini asimpende Bi mdogo?
True mwanamke akishaolewa wengi hujisahau Sana na kuleta mazoea
 
Na kuna wengine wanaitwa bi wadogo ila unakuta kachukuliwa ana watoto wanne nyumbani kwao, afu kwenye maisha kuna stage inafikia ngono sio kipaumbele sana juu ya kujenga familia
kwa hili la kufanya ngono uzeeni ifike muda mtu astaafu kufanya tendo hilo kama tayari ana watoto wa kutosha
 
mke mkubwa alimuoa ili watafute sasa akijipata ndio anatafuta wa kumpenda na kuenjoy nae maisha, yule wa kwanza haikuwa chaguo lake.
 
mke mkubwa alimuoa ili watafute sasa akijipata ndio anatafuta wa kumpenda na kuenjoy nae maisha, yule wa kwanza haikuwa chaguo lake.
Hahaha kwahiyo akizipata anaamuona bi mkubwa siyo type yake
 
Hii ilimshinda bwana Umar Yar'Adua..aka base kwa kipenzi chake cha awali Hajiya Turai.
 
Back
Top Bottom