MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Hapa kwetu Njombe (mjini) huwa hatutongozi, sie ni kama kuku tu ukimpenda demu unamshika mkono unazama nae msituni. Watoto wa huku ni wa kushika mkono tu.
Usisahau kuhoji pia "kwa nini Njombe inaongoza kwa kuwa na guest houses/lodge kuliko mji wowote Afrika Mashariki na Kati, na kusin mwa jangwa la sahara?"
Usisahau kuhoji pia "kwa nini Njombe inaongoza kwa kuwa na guest houses/lodge kuliko mji wowote Afrika Mashariki na Kati, na kusin mwa jangwa la sahara?"