LGE2024 Kwanini Mkoa wa Rukwa wameshika Mkia na Kujitokeza kwa uchache kujiandikisha kupiga kura?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kumbuka mkoloni aliupanga mkoa wa Rukwa kama sehemu ya kuchukua cheap labour "Manamba". Alifeli akaanza kuchukua Tabora na Dodoma. Jamaa wa Rukwa hawakuleta shobo hata kwa viboko. 😁
 
Hao watu wa Rukwa wana technology yao ya kuwawezesha kupiga kura wala usijali mwana CCM mbona hushangai kura za maruhani zinazowapaga ushindi wa bao la mkono?
 
Wher
E did you get your figures. Kwa sababu kuna taarifa imemkaririri huyo Waziri akisema takribani watu 26Ml. Ndio waliojiandikisha.
 
Kanuni ya utoaji kafara, anayewatoa wenzake kafara anajisahahu kuwa wakiisha, anayefuata ni yeye...... Zamu ya mtoaji kafara ikifika, anaogopa, anaweweseka, na anakosa amani.
 
Ni ngumu na haiwezekani majivu kurudi kuwa mkaa.... Kuyeyusha maji ni ngumu sababu yalishayeyuka.
 
Viongozi wa Mkoa na Wilaya wawajibishwe
 
Watu wajinga

Watu hawajahamasishwa

Au hawaelewi umuhimu wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Bora ukosea uchaguzi Mkuu kuliko Hawa viongozi ambao ndio tunaishi nao,Rais na Mbunge huna nafasi ya kwenda kumuona kwake
 
Watu wajinga

Watu hawajahamasishwa

Au hawaelewi umuhimu wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Bora ukosea uchaguzi Mkuu kuliko Hawa viongozi ambao ndio tunaishi nao,Rais na Mbunge huna nafasi ya kwenda kumuona kwake
Kweli kabisa umenena ukweli mchungu
 
Wao ndio wamepaza sauti hivyo kwa kutojiandikisha ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…