Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
E did you get your figures. Kwa sababu kuna taarifa imemkaririri huyo Waziri akisema takribani watu 26Ml. Ndio waliojiandikisha.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeshangaa sana kuona Mkoa wa Rukwa zaidi ya 30% ya wananchi hawajajitokeza katika kujiandikisha katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wao mwezi ujao. Hii ni kwa kuwa ni 64.58% pekee ndio waliojitokeza kujiandikisha.
Hivyo kuufanya mkoa huu kushika nafasi ya Mwisho kabisa yaani mkiani kabisa. Sijaelewa nini tatizo ya Mkoa huu kufanya vibaya kwa zoezi hili muhimu kabisa na lenye kumpa nafasi mwananchi kupaza Sauti yake katika sanduku la kura.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Soma Pia: Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Niko rukwa,ndo jibu sahihiRukwa wamejitambua, kwanini upoteze muda huku majizi yameshajipanga kuiba no matter what
Kanuni ya utoaji kafara, anayewatoa wenzake kafara anajisahahu kuwa wakiisha, anayefuata ni yeye...... Zamu ya mtoaji kafara ikifika, anaogopa, anaweweseka, na anakosa amani.Yaani karibu nusu ya Watanzania wamejiandikisha!!?
Mimi na familia yangu ya watu wanne hatujajiandikisha, mdada msaidizi wa kazi hajajiandikisha, mkaka wa mifugo hajajiandikisha, jumla tupo 6 kwenye nyumba yangu hatujajiandikisha, hao 31 milioni wametoka wapi!!??
Ni ngumu na haiwezekani majivu kurudi kuwa mkaa.... Kuyeyusha maji ni ngumu sababu yalishayeyuka.Yaani karibu nusu ya Watanzania wamejiandikisha!!?
Mimi na familia yangu ya watu wanne hatujajiandikisha, mdada msaidizi wa kazi hajajiandikisha, mkaka wa mifugo hajajiandikisha, jumla tupo 6 kwenye nyumba yangu hatujajiandikisha, hao 31 milioni wametoka wapi!!??
SureRukwa ni wakumulikwa kabla hawajakomaa wenzao kaskazini fahamu zimewarudia
Viongozi wa Mkoa na Wilaya wawajibishweNdugu zangu Watanzania,
Nimeshangaa sana kuona Mkoa wa Rukwa zaidi ya 30% ya wananchi hawajajitokeza katika kujiandikisha katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wao mwezi ujao. Hii ni kwa kuwa ni 64.58% pekee ndio waliojitokeza kujiandikisha.
Hivyo kuufanya mkoa huu kushika nafasi ya Mwisho kabisa yaani mkiani kabisa. Sijaelewa nini tatizo ya Mkoa huu kufanya vibaya kwa zoezi hili muhimu kabisa na lenye kumpa nafasi mwananchi kupaza Sauti yake katika sanduku la kura.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Soma Pia: Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watu wajingaNdugu zangu Watanzania,

Kweli kabisa umenena ukweli mchunguWatu wajinga
Watu hawajahamasishwa
Au hawaelewi umuhimu wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Bora ukosea uchaguzi Mkuu kuliko Hawa viongozi ambao ndio tunaishi nao,Rais na Mbunge huna nafasi ya kwenda kumuona kwake
Wao ndio wamepaza sauti hivyo kwa kutojiandikisha ndugu.Ndugu zangu Watanzania,