KWANINI Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA utumie gharama kubwa kuliko wa CCM

DrSisimizi

New Member
Joined
Jul 4, 2026
Posts
2
Reaction score
4
Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.

Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.

Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.

Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.

Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.

Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
 
Attachments

  • Screenshot_20260713_181305_X.jpg
    Screenshot_20260713_181305_X.jpg
    212.3 KB · Views: 17

Unaelewa utakatishaji wa pesa ni nini?

Nani atakuwa anatakatisha pesa na hizo pesa zitakuwa zinatoka kwenye biashara gani?
 
Ccm wanatumia rasilimali za umma,ila chadema ni rasilimali zake yenyewe!
 
Hizo ni posho ,watu wapige hela ..Hakuna harakati za bure.
 
Huenda ulitapeliwa ada

Mmoja kati ya hao anakodisha kumbi mwingine anaweza kutumia kumbi fulani za pamoja

Mmoja anakodisha magari mengi mwingine anaweza kutumia magari yaliyopo

Rasilimali watu pia zinatofautiana kuna media coverage na mengineyo

Nafkiri nitakuwa nimeustua ubongo wako kidgo
 
Ta
Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.

Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.

Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.

Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.

Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.

Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
Takataka mavi post
 
CCM mnapenda namba ila hamjui hesabu, milioni 120 ukigawa kwa watu 1,080 ina maana kila mtu alitumia 110,000 kwa siku tatu, huu ni uongo mkubwa sana maana hii pesa haitoshi hata nauli kwa wajumbe wa Tanganyika tu kwa nauli za bus kwa kichwa achilia mbali wajumbe kutoka Kizimkazi, Paje na Jambiani na mwenyekiti wenu anayetumia magari zaidi ya 30.
 
Umechangia shingap mkuu mpaka Sasa?
 
Mna ukumbi, kiasi chochote mtakachotaja hakuna wa kuwahoji hata mkisema mlitumia buku hakuna neno, kibunda mnacho hata wanaokuja mkutanoni wanajimudu maana asilimia kubwa wanasafirishwa na serikali ambago ndio ninyi wenyewe.
 
Anza kushiriki vikao vya maandalizi ya sherege kama harusi nk ili ujifunze, haya mambo.

Hata hivyo, nakushukuru kwa kutufungua macho. Hizo karatasi za kura mlizo print, zilikuwa na majina ya wagombea? Walikuwa wangapi? Mliwezaje kuziandaa wakati agenda ya kumpata mgombea ilichomekwa kwa kuwa haikuwepo?
 
Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.

Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.

Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.

Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.

Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.

Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
Ccm wanatumia raslimali za umma, wakati cdm wanatumia nguvu za wafuasi wake. Hata hivyo cdm hawaigi lolote kwa ccm. Milioni 350 nayo ni hela ya kutakatisha ww boya?
 
CCM mnapenda namba ila hamjui hesabu, milioni 120 ukigawa kwa watu 1,080 ina maana kila mtu alitumia 110,000 kwa siku tatu, huu ni uongo mkubwa sana maana hii pesa haitoshi hata nauli kwa wajumbe wa Tanganyika tu kwa kila kichwa achilia mbali wajumbe kutoka Kizimkazi, Paje na Jambiani.
Hapo hujatoa pesa ya kugaramia karatasi zilizoitwa za uchaguzi 😁
 
Back
Top Bottom