KWANINI Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA utumie gharama kubwa kuliko wa CCM

Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.

Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.

Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.

Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.

Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.

Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya

120B au milioni?

Haiwezekani Nakataa ccm kutumia 120M kwa mkutano wao

Kwamba posho ya Rais ni laki mbili?
 
Umeuliza swali na msingi sana, ila humu JF hutopata jibu hvy usiumie ukikutana na comments za kukugombeza 😂
 
CCM mnapenda namba ila hamjui hesabu, milioni 120 ukigawa kwa watu 1,080 ina maana kila mtu alitumia 110,000 kwa siku tatu, huu ni uongo mkubwa sana maana hii pesa haitoshi hata nauli kwa wajumbe wa Tanganyika tu kwa nauli za bus kwa kichwa achilia mbali wajumbe kutoka Kizimkazi, Paje na Jambiani.

I think alimaanisha 120B
 
Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.

Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.

Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.

Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.

Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
Mkuu kwenye mambo ya siasa,CCM wanaweza wakawa walitumia mabilioni ya fedha lakini ili kusetiri aibu ya matumizi ya fedha yaliyopita kiasi, wakakuambia wametumia fedha kidogo tu.

Sasa inawezekana kabisa Chadema wamekuwa wakweli kuhusu matumizi yao, wakati CCM walidanganya ili watu wasione ni waharibifu wa fedha

Na pia usisahau gharama nyingi za CCM zinabebwa na taasisi za serikali wakati Chadema wanalipia kila kitu
 
Hilo jamaa liongo. Halijui hata hesabu. Chukua hicho kiasi halafu ugawe kwa idadi ya wajumbe uone kila mjumbe ametumia shilingi ngapi. Hiyo hela hata nauli tu haitoshi. Kuna malazi, chakula etc kwa siku 3. Hii mijitu haifai hata kidogo kuongoza hii nchi, haijui hesabu badala yake inaishi kwa uongo
 
Back
Top Bottom