DrSisimizi
New Member
- Jul 4, 2026
- 2
- 4
Unaelewa utakatishaji wa pesa ni nini?Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.
Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.
Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.
Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.
Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.
Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
Ccm wanatumia rasilimali za umma,ila chadema ni rasilimali zake yenyewe!Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.
Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.
Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.
Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.
Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.
Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
na wewe njoo ulipwe hizo poshoHizo ni posho ,watu wapige hela ..Hakuna harakati za bure.
Takataka mavi postWadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.
Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.
Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.
Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.
Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.
Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
Hizo pesa hamna 😅😅mmekaa na njaa sana mpaka mnalia mhakamani ...na wewe njoo ulipwe hizo posho
CCM mnapenda namba ila hamjui hesabu, milioni 120 ukigawa kwa watu 1,080 ina maana kila mtu alitumia 110,000 kwa siku tatu, huu ni uongo mkubwa sana maana hii pesa haitoshi hata nauli kwa wajumbe wa Tanganyika tu kwa nauli za bus kwa kichwa achilia mbali wajumbe kutoka Kizimkazi, Paje na Jambiani na mwenyekiti wenu anayetumia magari zaidi ya 30.Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.
Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.
Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.
Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.
Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.
Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
HaujielewiHizo pesa hamna 😅😅mmekaa na njaa sana mpaka mnalia mhakamani ...
Ccm wanatumia raslimali za umma, wakati cdm wanatumia nguvu za wafuasi wake. Hata hivyo cdm hawaigi lolote kwa ccm. Milioni 350 nayo ni hela ya kutakatisha ww boya?Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu.
Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano mikubwa ya CCM kama Mkutano Mkuu wa 2025 ambao ulimpitisha Mgombea mwenza wa CCM na vikao mbalimbali Vya Halmashauri Kuu.
Kwenye ule mkutano Mkuu ambao uliambatana na kupiga kura kwa wajumbe 1080 nakumbuka gharama ya ule mkutano tulitumia Tsh. 120M ndani ya siku 3 hadi na gharama kubwa ilikuwa ni kuprint karatasu za kura ambazo gharama zake haikuzidi Tsh 10. Gharama zilihudumia usafi wa ukumbi, mziki, malazi kwa wajumbe, usafiri wa kuwaleta mkutanoni.
Vilevile vikao vya NEC nakumbuka cha mwisho kile cha Zanzibar ambacho watu walisafiri bado gharama ya wale wajumbe 50 ilikua ni Tsh 30M maana huwa kinafanyika mara moja baada ya kikao cha Kamati ambacho na chenyewe pia huwa hakizidi Tsh 30M.
Lakini kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kinachoitwa na Makamu Mwenyekiti Heche kwa sasa wanasema wanataka Tsh 350M, halafu wajumbe wanaokwenda hawafiki 170, napata mashaka je hakuna utakatishaji wa pesa hapa.
Na kumbuka hiyo michango imekuja ikiwa ni siku chache tangu Heche atuhumiwe kutumia pesa vibaya
Hapo hujatoa pesa ya kugaramia karatasi zilizoitwa za uchaguzi 😁CCM mnapenda namba ila hamjui hesabu, milioni 120 ukigawa kwa watu 1,080 ina maana kila mtu alitumia 110,000 kwa siku tatu, huu ni uongo mkubwa sana maana hii pesa haitoshi hata nauli kwa wajumbe wa Tanganyika tu kwa kila kichwa achilia mbali wajumbe kutoka Kizimkazi, Paje na Jambiani.