KWANINI Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA utumie gharama kubwa kuliko wa CCM


120B au milioni?

Haiwezekani Nakataa ccm kutumia 120M kwa mkutano wao

Kwamba posho ya Rais ni laki mbili?
 
Umeuliza swali na msingi sana, ila humu JF hutopata jibu hvy usiumie ukikutana na comments za kukugombeza 😂
 


I think alimaanisha 120B
 
Mkuu kwenye mambo ya siasa,CCM wanaweza wakawa walitumia mabilioni ya fedha lakini ili kusetiri aibu ya matumizi ya fedha yaliyopita kiasi, wakakuambia wametumia fedha kidogo tu.

Sasa inawezekana kabisa Chadema wamekuwa wakweli kuhusu matumizi yao, wakati CCM walidanganya ili watu wasione ni waharibifu wa fedha

Na pia usisahau gharama nyingi za CCM zinabebwa na taasisi za serikali wakati Chadema wanalipia kila kitu
 
Hilo jamaa liongo. Halijui hata hesabu. Chukua hicho kiasi halafu ugawe kwa idadi ya wajumbe uone kila mjumbe ametumia shilingi ngapi. Hiyo hela hata nauli tu haitoshi. Kuna malazi, chakula etc kwa siku 3. Hii mijitu haifai hata kidogo kuongoza hii nchi, haijui hesabu badala yake inaishi kwa uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…