Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Nikwa sababu huko anga za juu kuna utawala wa majini na mashetani, huenda yalikuwa yanaitana kwenda kuswali
Kumradhini wanazuoni, Hivi ni kweli Mmarekani Neil Armstrong alupokanyaga mwezini 1969 alisikikia sauti ya Azaan?
=====
When Neil Armstrong and co. walked on the moon, they heard sounds in a strange language they did not understand. When Neil Armstrong went to Egypt, he heard the adhan, and said, it was spacey something similar I heard while I was on the moon". Egyptian Friend told him that, it was the sound of Azaan (call for Muslim prayer). And Neil Armstrong immediately became Muslim because of this experience.
Source: wikipedia
Mwezini hakuna atmosphere kwa hiyo hakuna sauti
unaishi dunia nyengne kakaNani alikudanganya kuwa armstrong alikanyaga mwezini? hakufika hata kudogo.
unaishi dunia nyengne kaka
kwa sababu majini mengi huswali,na majini huishi popote na yanapoishi ni popote baharini angani / siyo ajabu kuwa yanamsikiti wao huko!/
sauti na kuonekana aka kutoonekana/
ni Mara nyingi binadamu tumekuwa WA kusikia aina za sauti hats usiku wakati tumelala lakini unapojaribu kufungua macho huambulia patupu au huoni kitu !/