Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

wali stage mchezo mzima wa kuigiza eti Armstrong kaenda mwezini lakini kopo la pepsi likawaumbua kwani lilionekana "mwezini" teh teh teh!
 
Ingia google angalia The truth about Armstrong's trip. na mengeneyo utajicheka wewe unayedanganywa.
hahaha so unamaanisha hakuna mtu alotoka nje ya dunia bro? sion mantik ya kusema umedanganywa hahhaha that is too funny
 
Ukitaka ukione cha mtema kuni uwe public figure USA kisha ubadili dini.
 
We're discussing about Neil Armstrong.

Mkuu, watu ni wazito kusoma na kufatilia baadhi ya mambo. Marekana huandaa baadhi ya propanda ili kuonyesha superiority yake.......ila uongo uongo, jamaa wanafanya sana
 
Hapa umechokoza ugomvi wa aina mbili:
1. Wanaoamini au kutoamini mmarekani kufika mwezini
2. Mtizamo wa imani ya kikristo na kiislamu katika hilo jambo.
Jiandae kwa matusi
 
Mkuu, watu ni wazito kusoma na kufatilia baadhi ya mambo. Marekana huandaa baadhi ya propanda ili kuonyesha superiority yake.......ila uongo uongo, jamaa wanafanya sana

Mkuu nimekuelewa,shida ipo kwa wabongo wakishamezeshwa utumbo na wamarekani hawataki tena kupembua uchafu na lishe.
 
Hakuwahi kubadili dini, hii yote ni fabrication.

Fm secstate washd c to all diplomatic and consular posts priority bi unclas state 056309. Following repeat sent action all east asian and pacific diplomatic posts dtd mar 02.

Quote: unclas state 056309 e.o. 12356: n/a tags: prel, pgov, us, id subject: alleged conversion of neil armstrong to islam
ref: jakarta 3281 and 2374 (not ..)

1. Former astronaut neil armstrong, now in private business, has been the subject of press reports in egypt, malaysia and indonesia (and perhaps elsewhere) alleging his conversion to islam during his landing on the moon in 1969. As a result of such reports, armstrong has received communications from individuals and religious organizations, and a feeler from at least one government, about his possible participation in islamic activities.

2. While stressing his strong desire not to offend anyone or show disrespect for any religion, armstrong has advised department that reports of his conversion to islam are inaccurate.

3. If post receive queries on this matter, armstrong requests that they politely but firmly inform querying party that he has not converted to islam and has no current plans or desire to travel overseas to participate in islamic religious activities.

[3]
 
mkuyati og

Nani tumuamin? Wewe au mwanzish wa thread? Tuchukue kwa nan? Accordimg to @Ghosyryder if amstrong is filmed then even this answer are fabricated
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba nnje ya dunia hakuna gas..... Hivyo basi hata ukikaa pembeni yangu huwezi nisikia. Hadi tutumie vifaa... Ambavyo vitatumia radio waves. Ndio tuweze kusikilizana........ Je huyo Armstrong alisikiaje hiyo sauti? Naomba wana fizikia mnijibu kisomi zaidi ...... Hatutaki mambo ya youtube hapa...


KisomaX
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka ukione cha mtema kuni uwe public figure USA kisha ubadili dini.
Ndio maana Bondia Mohamed Alli alitengwa na akfaithaika hadi kuitupa medali yake mtoni? contra,: ndo maana Raisi George Bush snr alumtuma MA Iraq kumshauri Saddam Hkabla ya kuvamia 1990?
 
Back
Top Bottom