Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Hakuna kitu kama hicho.....mmekosa sera za kuwafanya watu waamini dini yenu......waacheni watu waje kwa kuufuata ukweli na sio kwa vitisho......hivi ni vitisho. Hatuji huko hata mtutishe.
 
Hahahaha mkuuu daaah ivi badoo kwenye karne ya 18..

Niko karne ya 21 mkuu, kule mwezini hakuna environment inayoruhusu kuingia binadamu hata kwa muda mfupi tu. Kuna solar wind za hatari sana.
 
Unashangaa ya huko Marekani....?????kwa nini usishangae ya hapa nyumbani yaani vita vya majimaji na mapinduzi ya ZNZ
 
Kwani walioenda baada ya yeye waliskia iyo sauti au ni yeye peke yake na mifumo ya kurekodi sauti iliiskia iyo sauti?
 
Neil Amstrong hakuwahi kukanyaga ardhi ya mwezi... ni uongo wa NASA
 
Ndio maana hata alipoombwa aape kwa biblia kama kweli aligusa ardhi ya mwezi aligoma.
 
Baada ya hapo ndio lilianza wimbi la wazungu kusilimu hadi leo wakiamini kwamba amstrong alikuwa na evidence muhimu kuonyesha kwamba dini ya mungu ni islam
 
Wikipedia yako Neil Armstrong - Wikipedia, the free encyclopedia inasema

 
Mkuu atmosphere ni nini?

Atmosphere ni ukanda (layer) ya gasi zote (gesi hapa namaanisha oksjeni,CO2,nitrojeni,neon nk) inayozunguza dunia angani ikushikiliwa na nguvu ya uvutano au gravitational force.

Nimesema mwezini hakuna atmosphere maana yake ni kwamba hakuna ukanda huo wa gesi kama hakuna atmosphere hakuna upepo,hakuna mvua hakuna sauti na hakuan mawingu.

Hii inatokana na kwamba mwezi una nguvu ya uvutano dhaifu sana hivyo haiweiz kuhimili kushikilia ukanda huo kwa hiyo inapelekea ukanda huo kukosa mwezini, kama nguvu ya uvutano sio imara hakuna atmosphere.

Uliza swali lingine mkuu.
 
Nan tumuamin? Wewe au mwanzish wa thread? Tuchukue kwa nan? Accordimg to @Ghosyryder if amstrong is filmed then even this answer are fabricated

kusoma huwezi, hata picha huoni?? tusiwe wepesi kuamini habari za kutunga kama hizi bila kuhakiki source. mtoa mada anasema source yake ni wikipedia, unamuamini? hebu search "neil armstrong" ktk wikipedia halafu angalia personal life yake then urudi hapa kusahihisha na wenzako.

halafu, mbona tunakuwa na wivu wa kike hivi? wenzetu wako mbali maana hawana huu uswahili wetu wa kutafutana uchawi,, NASA wanaanda safari to Mars in the near future. sie tupo tu tumekalia conspiracy theories,; tena zote from a single source mwanzo mwisho!! ajabu, is that even credible if you analyse it kwa jicho la kisayansi? na mbaya zaidi conspiracy theories haziwezi kuwa proven. hebu muulize ghostryder kama hilo kopo la pepsi yeye aliliona ,, ama amesikia tu kutoka kwa watu? watu walewale wenye akili ndogo waliokuaminisha kwamba source ya mada hii kumhusu armstrong ni "wikipedia", nawewe ukaamini bila ku-verify,, wakati wikipedia is just a couple of keys away kwenye device yako. pole
 
In the late 1950s, Armstrong applied at a local Methodist church to lead a Boy Scout troop. When asked for his religious affiliation, he labeled himself as a deist.[118] His mother later said that Armstrong's religious views caused her grief and distress in later life as she was more religious.[119] His official biography also describes him as a deist

Neil Armstrong - Wikipedia, the free encyclopedia

Deism is a natural religion. Deists believe in the existence of God, on purely rational grounds, without any reliance on revealed religion or religious authority or holy text. Because of this, Deism is quite different from religions like Judaism, Christianity and Islam.Aug 30, 2011

Source: www.religioustolerance.org

Hivyo Armstrong hakuwa mkristu wala hakuwa mwislam, alikuwa deist.
Sasa ushindani ni wa nini hapa?Grow up guys, c'mon!
 
Last edited by a moderator:
Acheni kubishana Ujinga, Ishara za waziwazi ziko nyingi tu kama hamuamini hiyo ya Armstrong. kwani Qur an ilishaeleza kuhusu ishara.
 
Baadaye alisilimu na kuwa mwislaam, Marekan ikamnyang'anya kila kitu ikaja mfunga na jela ikimshinikiza arudi kwenye din yake ya mwanzo

Wamarekani hawana mambo ya dini kabisa si ukristo wala uislam. Hata mashoga wana haki kule. Tumia akili zako acha kudanganywa wewe.
 
Ukitaka ukione cha mtema kuni uwe public figure USA kisha ubadili dini.

Kwa hiyo mpaka leo wanaokwenda mwezini wanaisikia sauti hiyo? Au allah alishakimbia huko baada ya kuona binadamu wameanza kumwingilia? Tumia akili yako, kama ilikuwepo zamani ni kwanini kwasasa haipo tena?
 
Baadaye alisilimu na kuwa mwislaam, Marekan ikamnyang'anya kila kitu ikaja mfunga na jela ikimshinikiza arudi kwenye din yake ya mwanzo

Unataka kuniambia hakuna wamarekani wanaoamin katika Islam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…