Kwanini Mnaita Hezbullah, Hamas kuwa ni Magaidi?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi.

Je, wale ni Magaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina?

Je katika makundi hayo yalishawai kushambulia nchi yoyote zaidi ya Israel? Kama hakuna kwanini waitwe Magaidi?

Nadhani hili natazama wa ulaya magharibi uko Tazama kwa umakini haya ni makundi yanayotetea uhuru wa Palestine 🇵🇸 na wanachukia ukandamizaji kimsingi Israel ndiyo Saidi mashariki ya kati!

Tuambie wewe unaonaje haya makundi?
 
Kwa Marekani na Uingereza, Nelson Mandela naye alikuwa ni gaidi.

Hadi kufikia mwaka 2008, Mandela alikuwemo kwenye orodha ya magaidi [ya Wamarekani].


Leo hii, hapo Parliament Square, London, kuna sanamu la Nelson Mandela!

Wengine ambao masanamu yao yapo hapo Parliament Square ni Winston Churchill, Benjamin Disraeli, Abraham Lincoln, Mahatma Gandhi, n.k.
 
Hakuna Watu wajinga na wasiojua mambo yanayoendelea duniani kama raia wa marekani na nchi nyingi za ulaya.
 
Mayahudi na washirika wake Uingereza,marekani,ufaransa n.k ndio magaidi namba moja mashariki ya kati. Wanatumia mbinu za kuua maelfu ya watu kwa mabomu, kufunga watu magerezani na kuwatoa ktk majumba yao ili tu watimize malengo yao ya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…