Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Kwani ni uongo? Mandela was a terrorist hadi kesi yake ni ugaidi... hata Tanzania Tuliwahifadhi magaidi wa South Africa na Msumbuji na kwapa silaha same anavyofanya Iran... Aluta Continua. Shetani pia alikuwa Gaidi Mbinguni theluthi Moja aliwashawishi kuasi, as per anunaki Story human we are fallen angel tumevikwa miili na kufutwa memory but we are very powerful jesus alikuja kutustua tulipokuwa we are devine roho zetu zipo tu hazina end Dunia yenyewe ipo hewani mean we are already in heaven now and there is no such thing called hell its just fabricate watu wa dini tusiwaze kurejea kwenye our powerfull. Jesus said tupambane tunaweza hamisha hata mlima from one place to another.. Just think about..Kwa Marekani na Uingereza, Nelson Mandela naye alikuwa ni gaidi.
Hadi kufikia mwaka 2008, Mandela alikuwemo kwenye orodha ya magaidi [ya Wamarekani].
![]()
US government considered Nelson Mandela a terrorist until 2008
www.nbcnews.com
Leo hii, hapo Parliament Square, London, kuna sanamu la Nelson Mandela!
Wengine ambao masanamu yao yapo hapo Parliament Square ni Winston Churchill, Benjamin Disraeli, Abraham Lincoln, Mahatma Gandhi, n.k.