Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Tuanze kwa definition ya gaidi?Nimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi, je wale ni mgaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina?
Je katika makundi hayo yalishawai kushanbulia nchi yoyote zaidi ya Israel? Kama hakuna kwanini waitwe magaidi? Nadhani hili natazama wa ulaya magharibi uko Tazama kwa umakini haya ni makundi yanayotetea uhuru wa Palestine 🇵🇸 na wanachukia ukandamizaji kimsingi Israel ndiyo Saidi mashariki ya kati! Tuambie wewe unaonaje haya makundi?
Ugaidi ni nini?