Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Tuanze kwa definition ya gaidi?Nimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi, je wale ni mgaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina?
Je katika makundi hayo yalishawai kushanbulia nchi yoyote zaidi ya Israel? Kama hakuna kwanini waitwe magaidi? Nadhani hili natazama wa ulaya magharibi uko Tazama kwa umakini haya ni makundi yanayotetea uhuru wa Palestine 🇵🇸 na wanachukia ukandamizaji kimsingi Israel ndiyo Saidi mashariki ya kati! Tuambie wewe unaonaje haya makundi?
Ugaidi ni nini?Mayahudi na washirika wake Uingereza,marekani,ufaransa n.k ndio magaidi namba moja mashariki ya kati. Wanatumia mbinu za kuua maelfu ya watu kwa mabomu, kufunga watu magerezani na kuwatoa ktk majumba yao ili tu watimize malengo yao ya kisiasa.
Kuna mtu anaeweza kujadili kwa mantiki bila ushabiki na mihemuko, Ugaidi ni nini?Wapalestina na walebanon wana kila haki ya kujilinda dhidi ya uvamizi wa magaidi wa kiyahudi.
Ndio.... Hezbollah walishambuliwa kituo cha wayahudi huko Argentina wakishirikiana na Iran.Je katika makundi hayo yalishawai kushanbulia nchi yoyote zaidi ya Israel?
Hawana target maalum kama allah.hao hezbollah hua target zao ni kuua raia wa israel au huwa zaid wanalenga jeshi la israel mkuu
Mtanznania akisikia mareknani akimwita mtu gaidi na yeye anaimba Wimbo huo huoNimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi, je wale ni mgaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina?
Je katika makundi hayo yalishawai kushanbulia nchi yoyote zaidi ya Israel? Kama hakuna kwanini waitwe magaidi? Nadhani hili natazama wa ulaya magharibi uko Tazama kwa umakini haya ni makundi yanayotetea uhuru wa Palestine 🇵🇸 na wanachukia ukandamizaji kimsingi Israel ndiyo Saidi mashariki ya kati! Tuambie wewe unaonaje haya makundi?
Wala sishangai nimekaa na kuishi nao miaka zaidi ya 40Ndio utashangaa sana, hizo ni media za West ambazo nyinyi kama sio zote zinakuwa influenced na Israel.
Infact gaidi namba moja duniani ni Israel na USA. Sio mimi ni huyu former US soldier anasema msikilize hapa chini
View: https://youtu.be/uaO2m9hpBLI?si=JUIW_Yk_4YbGRITl
Wanayoyafanya kina netanyahu ndio tafsiri sahihi ya ugaidiUgaidi ni nini?
Upo sahihi wamarekani wengi ni wajinga sana media zina waharibu sanaHakuna Watu wajinga na wasiojua mambo yanayoendelea duniani kama raia wa marekani na nchi nyingi za ulaya.
Watu wa maana wanazidi kuipa kisogo JF, hakuna watu wanaoweza kujadili zaidi ya ushabiki na ujinga tu.Wanayoyafanya kina netanyahu ndio tafsiri sahihi ya ugaidi
hili nalo kumbe ngeseHawana target maalum kama allah.
Kama nyie mulivyo radhi kuoana jinsia moja kisa mamba kasemaKwasababu hayana akili yako radhi kuua mtu kwaajili ya mambo ya imani. Yaani yanatekeleza maagizo ya mpumbavu mmoja hivi aliye yadanganya kuwa yanafanya jihad akayaahidi kuyapa bikira 72.
Hizi kelele tupu tuu hamas na hizbullah pigen umbwa za kizayuniHamas, Hezbollah, alkaeda, Islamic jihad, Isis, boko haram, yote hayo ni makundi ya magaidi yenye mlengo wa kidini.
Tofauti yao ni Geographical location tu
Safi hio ni kama wameshambulia israhell tu kwamujibu wa sheriaNdio.... Hezbollah walishambuliwa kituo cha wayahudi huko Argentina wakishirikiana na Iran.
Somalia, Nigeria, Burkina Faso, Sudan, Msumbiji huko kote kuna wazayuni sio?!Hizi kelele tupu tuu hamas na hizbullah pigen umbwa za kizayuni
Huko kote kuna magaidi wanajivika Uislam ili kuua watuSomalia, Nigeria, Burkina Faso, Sudan, Msumbiji huko kote kuna wazayuni sio?!
Muslim ana land wapi? Syria - Was Christian Country,Iraq Was Majority Christians japo dini nyingi ndipo alipoenda Yonah akamezwa na Samaki, Lebanon Christian Country Medina was Jews Province, Yemen too was Christian and Jews Egypt was Christian Coptic Country n,k Islam wavamizi wameharibu kote tena walikuwa wanafanya Genocide kuhakikisha wana clean Dini zingine... So Muslim is a terrorist cult with prove kama zoteHaswa tena wamevurugwa na kuvurugika
Wao kila wanaloambiwa wanafuata mkumbo tu
Picha zinajielezaView attachment 3118084