Kwanini mnapata woga?

Kwanini mnapata woga?

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Habari zenu watu wa mpira?

Hii mechi ya Oct. 23 mbona kuna katimu kanatetemeka sana, shida nini? Woga huu unaletwa na nini? Hii wiki kumeanzishwa nyuzi nyingi (karibu 50) za utabiri na ulozi, yaani eti watu wanaoteshwa kabisa kuwa wanashinda hadi goli 5 kwenye hii mechi.

Labda tuulizane tu, kwanini mnatetemeka kabla ya wakati? Kuna muda nawaza au pengine na nyinyi mnamkumbuka Kalala, au mnakumbuka maonesho ya funguo, au labda mnakumbuka zile pasi za mdaka mishale au pengine mmeyakumbuka yale makombola ya masafa marefu ya toto la Zenji?

Nb:kutetemeka ni hadi utetemeshwe tafadhari msijitetemeshe manyonyo.
 
wasio mjua mjukuu wa mzee Mpili ndo[emoji115] huyu mleta mada.

wasifu wake:
jina:Manyanyaso Said Mpili.

makazi:Mbagala Kimbangulile.

kazi:fundi viatu.

elimu:darasa la saba"W".

timu yake:Utopolo.

chakula kikuu:Supu ya miguu na vichwa vya kuku.
 
Juma pili =8
Yanga =5
Simba =5

8–5=3

Angalia kwenye mtiririko wa alphabet inaanza S ambayo ni simba hivyo simba wana goli tatu kwa hyo yanga ni jukumu lao kupunguza hizo goli hapo lazima wakashinde makaburini wamejitahidi droo siku sio nzuri kwa utopolo ndio maana wamejawa na woga.
 
wasio mjua mjukuu wa mzee Mpili ndo[emoji115] huyu mleta mada.

wasifu wake:
jina:Manyanyaso Said Mpili.

makazi:Mbagala Kimbangulile.

kazi:fundi viatu.

elimu:darasa la saba"W".

timu yake:Utopolo.

chakula kikuu:Supu ya miguu na vichwa vya kuku.
😂😂😂😂Maskani yake pale jangwani kweny kigenge cha kahawa pale nje
 
Back
Top Bottom