Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Habari zenu watu wa mpira?
Hii mechi ya Oct. 23 mbona kuna katimu kanatetemeka sana, shida nini? Woga huu unaletwa na nini? Hii wiki kumeanzishwa nyuzi nyingi (karibu 50) za utabiri na ulozi, yaani eti watu wanaoteshwa kabisa kuwa wanashinda hadi goli 5 kwenye hii mechi.
Labda tuulizane tu, kwanini mnatetemeka kabla ya wakati? Kuna muda nawaza au pengine na nyinyi mnamkumbuka Kalala, au mnakumbuka maonesho ya funguo, au labda mnakumbuka zile pasi za mdaka mishale au pengine mmeyakumbuka yale makombola ya masafa marefu ya toto la Zenji?
Nb:kutetemeka ni hadi utetemeshwe tafadhari msijitetemeshe manyonyo.