Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

Duh kweli wabongo wengi vilaza!! Hizo ni taa za sensor ambazo ikisense kitu inaongeza mwanga!! Hata nyumbani kwangu nimezifunga,, seto moja inauzwa laki na themanini
Cc : ephen_
Sasa ushamba uko wapi hapo, wewe ulizaliwa unajua kila kitu? au tuseme ktk ulimwengu huu unajua kila kitu? acha ushamba mkuu!
 
Inakuwaje? Mbona pale mahakamani ambako ndo Sheria inasimamiwa/inatekelezwa naona Mahabusu, Mapolisi au Askari Magereza picha zinapigwa/wanapigwa na zinarushwa kwenye mitandao?
Mbona umeishajijibu?
 
Unataka nikufundishe namna yakuivuka hiyo taa na isiwake?, au basi maana kuna wahuni watatumia ujuzi kufanya uhalifu wao.
 
Sasa ushamba uko wapi hapo, wewe ulizaliwa unajua kila kitu? au tuseme ktk ulimwengu huu unajua kila kitu? acha ushamba mkuu!
We kubali tu kwamba WEWE NI MSHAMBA!!! unaelekezwa unajifanya kuja na POVU, huko tandahima hizi taa hamna hata nikikuelekeza nitakua napoteza muda!!! Wewe akili yako zinaishia kwenye mashamba ya magimbi..
Cc : ephen_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…