Sita andika uzi nitoe povu langu.
Ngoja niseme hapa kwa uchache.
Single mother wengi hata wao hawajiamini hata kidogo,
Akijiangalia unakuta anajijua anatabia nyingi mbovu na bako kazalishwa,, so anaona ni ngumu sana kuja kupata mume mpya akaheshimika kwenye ndoa.
Wasi wasi anakua nao yeye mwenyewe
Pili wengi wao unakuta hakuna hata sababu za msingi za kuachana na mwanaume wake aliye mbebesha mtoto.
Kuna single mother nilimuuliza baba mtoto upo nae, akasema hapana toka nijifungue nimemchukia tu na simpend.
Nikabaki najiuliza hizi ni akili au bangi ?
Mwanamke mwenye tabia jema, hueshimika tu bila kujali, yani hata mwanaume mwingine akikupata atakua anamcheka na huyo aliyekuacha na kumuona mpumbavu.
Ukiwa na tabia mbovu na bado ni single mother yani utatukanwa sanaaaa.