Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Ushasepa home??

Huyu ameshazaa??

Vipi ushapata kibarua cha kuendesha maisha?

Unatuomba ushauri wakati hapa ulituelekeza namna ya kuacha mwanamke? Pitia desa zako au mganga hajigangi?


Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu....
JF shikamoo[emoji119]
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kesi nyingi zilizoko mahakamani ni viwanja vyenye mgogoro. Yaani hata zikiisha utasikia kuna mwanafamilia kakata rufaa, mara yule kaleta bill of cost. Mara yule kaleta zuio, Etc etc......

Ndo maana tukakubaliana kabla viwanja vyenye mgogoro havijanunuliwa, kwanza mnunue hivi visivyo na mgogoro.

Bi shost hawezi kuolewa kirahisi hivo wakati kuna wadada wamejitunza wakajinyima starehe sasa yeye ni nani? Kwamba ana bahati zaidi ya wengine?
Kwamba yeye anajuamulia tu kwamba yeye hawezi kula pipi kwenye ganda leo aolewa tena kirahisi? Hapana.!!

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.😆
Nadhani hujaelewa mada sijaongelea kwamba single mother apewe kipaumbele kwenye ndoa!Nimesema aache kuhukumiwa na sio jukumu la mwanamke tu kula pipi na ganda!Hujui hata condom inaweza kupasuka?
Au unamaanisha hawa wadada wanaotoa mimba chungu nzima ndo wamejitunza?
 
Kila siku tunaongea humu ....

Oeni bikra ,hao single maza hawana la kupoteza watakuharibia maisha kijana ...

Kwanini uanze game 1-0..

Anza game 0-0
Kila la kheri kwenye kuoa bikira katika karne hii!Vitu vingine tukiongea viwe vinakaribia pamoja na kuendana na uhalisia na nyakati tuliyopo isiwe blah blah tu!
 
Usiwazuie waache waongee coz wapaka kucha, bodaboda na shamba boi wanawarekebishia nati wake zao watakatifu.
 
Hongera kwa kumsaidia shangazi yako katika malezi Mungu ndio atakulipa.Unafanya jambo la busara.
Ila hiki kitu kingekuwa kinakanywa kwa wanaume pia kusingekuwa na single mothers.
Sielewi kwanini jukumu zima la uzinzi kati ya mwanamke na mwanaume anabebeshwa mwanamke peke yake ikija kwenye matunda yake.Kama ni kuwekwa sawa wanapaswa kuwekwa sawa pande zote mbili kwasababu wote ni wakosaji.
Mwanamke hazikwepi lawama sababu ni yeye pekee ndie mwenye maamuzi ktk hili. AKISEMA YES NI YES, POA AKISEMA NO NI NO.
 
Mbona huelewi[emoji30]hivi kama me akitaka kutiana na wewe ukimkatalia atakuua?? Waamuzi Wa mwisho ni nyie... Ukitaka mimba utapewa na usipotaka kamwe Hutopewa.
Hivi ww kama kweli mwanaume rijali how can you and stand of majority and proclaim to be so irresponsible?Hii ni aibu kubwa. Zinaa ni tendo mnalokubaliana nalo wawili na hata kinga pia!Kama ww hutaki mtoto au majukumu jikinge vaa condom au mwaga nje for the least!Shame!
 
Immagine vile umesumbuliwa miezi, na bado kutoboka utoboke then umwage nje, men tena ikiwezejana mwaga kabisa kwenye ovary co cevix!!
 
Back
Top Bottom