Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Bora ulivyobadilisha statement ya mwanzo, you've written in a more polite way.

Kila mtu aheshimu status ya mwenzake, kuwa single parent sio ugonjwa wala ulemavu. Mtu alee watoto wake regardless.
Usijali 😊,Pole!
 
"Jingine wote wanawatakiwa wafundishwe pia jinsi ya kustarehe na kuepuka mimba sizisotarajiwa"

Nimeku qoute hapo ..Unadhani elimu ya jinsia inatolewa kwa mwanamke peke ake ? Hata wakiume wanafundishwa pia mafundisho ya dini na wazazi vina play role kubwa kuelimisha wote

Je mimba zisizotarajiwa zimeisha ?

Ndo nikasema we angalia faida zako kama mwanamke achana na wanaume maana hapo solution iliyobaki ni juhudi zako binafsi ukiwa muelewa na mwenye msimamo hayo hayawezi kukuta vilevile hii ina applay kwa mwanaume vile vile

Ila tu wanazungumziwa wengi ni wanawake sababu wao wana athirika pakubwa

Na najua nyie mkikaza.hakuna kitu tunafanya kidogo hili litapungua mwanamke ana uwezo wa badilisha mambo kushape vitu vile atakavyo nyie mnaushawishi sisi wanaume tumejificha kwenye kichaka cha ego na vile jamii na dini inatu favour sasa kweli unataka ku reason na hii jinsia yetu ? Kwani hawajui kama wao pia ni wasababishi?

Sasa hiyo startegic plan [emoji116]

Ndo nikakwambia yaani angalia faida zako.. hili swala tunaangalia juhudi binafsi ya muhusika ana uelewa kuhusu haya. kuhusu mwanaume nae a share blame huko achana nako maana nyie ndio waathirika wakubwa
 
Mbona sasa mnaingea kingereza zaidi ...tunashindwa fuatilia mjadala kwa sie wa form two...wekeni kiswahili bana.
 
Naamini mabadiliko yakianza kwa wanaume yatakuwa na impact kubwa zaidi kwasababu mwanaume ndo kichwa na ndio maana ningependa hilo lifanyike!

Yaani mkibadilisha mentality mtaona mabadiliko makubwa mno.

Siku zote ukiwa na tatizo unajaribu njia mmoja ukiona haisaidii unatakiwa ujaribu suluhu nyingine.Au chunguza chanzo cha tatizo ni nini na utaepuka vipi tatizo hilo lisijirudie!
 
Nakubaliana na ww sio watu wote ni sawa.
Kuna watu hawapaswi hata kuwa wazazi actually.

Mimi binafsi naamini kama hakuna mzazi anayependa kulea mtoto peke yake labda awe na matatizo ya akili au anajua fika malezi na mzazi mwenzie yataathiri maisha na makuzi ya mtoto.

Lakini all in all kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia.

Na si sawa kwa makosa ya wachache wanajumuishwa single mothers wote.

Isitoshe unajua kitu ukikipa negative impact kinakuwa worse,tuangalie na positive side na kuonya bila kuweka uzito upande mmoja tu,na bila dhihaka au matusi,haisaidii actually.
 
Unapatana na single mother, unamuuliza unapenda nini ?
Napenda mwanaume asiye na dhalau,mwenye heshima.
Uheshimiwe na huku hata wewe hujiheshimu na unatabia mbovu !!!

Aisee dhalau zipo nyumba yako zitakuangukia tu.
 
Wanawake ndo wapo kwenye nafasi ya kupata mahangaiko zaidi pale inapotokea mimba za ovyo ovyo na ndo maana tunawaambia wajitunze, umewahi kusikia single father anakwenda ustawi wa jamii? Wanaoteseka zaid na matokeo ya kuwa single parent ndo wajitunze zaid maana ndo wanaumia zaidi.
 
Ni rahisi zaid kumfundisha mwanamke kuepuka ngono zembe kuliko mwanaume kwa sababu ya utofauti wao kijamii, kihisia na kimwili.
 
Bado tunarudi kule kule ma mkwe

Mnaoathirika kiasi kikubwa ni nyie sio sisi

Ndo maana mitigation cha kwanza kabisa inafanywa kwa ile factor yenye impact kubwa ambao ni nyie

So ukitaka startegic planing Anza ya kuwasaidia nyie
 
Bado tunarudi kule kule ma mkwe

Mnaoathirika kiasi kikubwa ni nyie sio sisi

Ndo maana mitigation cha kwanza kabisa inafanywa kwa ile factor yenye impact kubwa ambao ni nyie

So ukitaka startegic planing Anza ya kuwasaidia nyie
Ndo haifanyi kazi kwa kuwasema tu! Kwahio ww unataka mabadiliko ya vitendo kwa maneno?na nyinyi mbadilishe vitendo na mchangie kuleta mabadiliko!

Mabadiliko hayawezi kutokea kwa minadhili mnayoweka,yaani ni kama waste of time and energy kwa kweli!

Halafu nani mama mkwe?ushindwe na ulegee!
 
Ni rahisi zaid kumfundisha mwanamke kuepuka ngono zembe kuliko mwanaume kwa sababu ya utofauti wao kijamii, kihisia na kimwili.
Sijalielewa hili ni kwanini mnajitetea sana ikija kwenye uasherti au uzinzi?🙄
 
Sijalielewa hili ni kwanini mnajitetea sana ikija kwenye uasherti au uzinzi?[emoji849]
Unataka kulazimisha mambo, hakuna anayejitetea ila ndo ipo hivyo. Unadhan kwanin Mtume ameruhusu mwanaume kuoa wanawake wanne lakin mwanamke hajaruhusiwa? Kupingana na ukweli huo ni kujipa mateso na kutaka kujaribu kutafuta solution ambazo hazitasaidia.
 
Usiingize dini kwenye kitu ambacho hata dini inakataza!Kuna dini inaruhusu uzinzi na uasherati?Kama dini inakataza hilo basi wasizini wote na hukumu ni sawa kwa wote!Silazimishi kitu tatizo mnakimbia uhalisia ili mupate maslahi upande wenu!
 
Habari wanaJf, niingie kwenye mada straight. Hawa dada zetu na mama zetu kwa kila namna wanakila jinsi yakukiri makosa yao na kujifunza na kufunza wengine kuwa stiff heads haitawasaidia kitu.Nitatoa agenda yenye uzito wa kosa lao kubwa na hamna wa kulaumu zaidi yao wenyewe.

Either

Kama aliyekupa mimba/mtoto na ukakubali na ukagundua akufai kosa ni lako wala sio lake ulitakiwa kulijua ilo kabla ujakubali kuruhusu mimba kuingia au kuendelea naye, adi hapo umeshafail,

OR

Kama ni tatizo lako na kusababisha muhusika kukimbia ilo nalo tatizo ni lako hauna wakumlaumu kwa hizi sababu mbili tu zinatia mashaka maamuzi yenu ya mbeleni na misamamo yenu, ndio maana kumekuwa sitofahamu juu yenu.

USHAURI:-Rekebisheni hayo matatizo niliyoyasema hapo juu uenda janga la kuwa single mothers kupungua na sitofahamu. NI HAYO TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…