Kumekuwa na vijembe vikali sana na maneno mabaya sana kuhusu single mom katika mitandao lakini katika jamii single mom wanaolewa sana na ndoa zao zinafuraha sana kikubwa ni kujitambua na kujua unataka nini, mimi nimeolewa naishi kwa furaha na baby wangu tunakosea wakati wa kwenda sio kurudi pia dunian hapa kila mtu anamadhambi yake hakuna mkamilifu hao wanaume wanaowaponda humu wengine mashoga wanapelekewa moto sasa si bora single mom kuliko idadi hii kubwa ya mashoga, watoto sio laana watoto ni baraka maisha ni fumbo huwezi kujua nani atakusaidia baadaye
Single mom's kama ulizaa na baba mtoto mkaachana kwanza move on,jitambue ukipata mwanaume mpende muheshimu muweke wazi kila kitu nini kinaendelea maisha yatakuwa safi
Mnaosema single mom kwan wamejizalisha unakuta kidume kizima kinasema single mom laan na yy katelekeza mtoto huko kwahiyo toto lako ni laan wanaume mjitambue wazee wa zamani walikuwa wanalea watoto na maisha yanaenda acheni ubaguzi dunia sio yenu finally uzeee kwisha
wangapi wameolewa sio single mom ila wanacheat mpaka wanaleta watoto ambao sio wa ndani ya ndoa humo ndani kwenu kunawaka moto hasira mnakuja kumalizia mtandaoni, au mliwaoa mabikra acheni ubaguzi nyie wanaume wachache
Sio vijembe au maneno makali ni ukweli na maneno ya direct kuhusu single mothers katika mitandao ya kijamii. Kuhusu wao kuolewa ndicho tunachowapa elimu wanaume wenzetu wanaoingia huo mkenge.
Single mother anakulia timing tu anakuvungia kwa miaka kadhaa watoto wake wakue wapige hatua ya kimaisha na yeye awe amekwisha jiwekeza vizuri then hautaamini habari atakazo kuletea. Mwanamke ambaye mwenye watoto wake wameshindwana wewe kilaza utamuwezea wapi. Yaani mtu aliyezaa nae hajakaa nae wewe Akuli mbeba mizigo ya watu unajaa ili uchezee za uso.
Single mother kujitambua ni mtihani, wengi wanakuwa damaged goods wanaopretend kuwa wapo okay ila ndani ya akili na mioyo wana maumivu na changamoto zao. Ushoga na single mothers zote ni tabia zenye kuleta mikosi kwenye jamii ya mtanzania na mwafrika hatuzitaki.
Shida huwa swala la kumove on halipo. Ni ngumu sana kukata mawasiliano na mtu ambaye ulishawahi kulala nae uchi kitandani, mkakatikiana kwa utamu na mkazaa mtoto au watoto, huyo mtu labda atake yeye kukaa mbali na wewe akiendelea kukuzengea ni swala la muda tu.
Ukisema swala la kujizalisha ni kama unasema mwanaume ndie anae amua ujauzito ubebwe jambo ambalo si kweli, wanawake hubeba ujauzito wa mwanaume ambaye wamemchagua na kumpenda ya dhati kutoka moyoni na sio bahati mbaya. So ukiona mwanamke kazaa na mwanaume wa hovyo jua ni maamuzi yake na sio mwanaume yeye ndio kataka kubeba ujauzito wa huyo mwanaume na alitaka awe baba wa mtoto au watoto hakuna ajali hapo.
Mtoto sio laana ila ni zao la maamuzi ya laana. Wazee wa zamani hawakuwa na changamoto kama za sasa za kimahusiano kwa wanawake zao, wanawake wa sasa ni toleo la tofauti sana hata mama na bibi zenu wanawashangaa so acha kufananisha wanawake wa zamani na wasasa, ninyi wa sasa hamfadhiliki na mnadharau na majivuno yanayovuka mipaka.
Wanawake wa zamani unamkuta na watoto ila kila utakachomwambia atatii kama askari wa jeshi, hata ukimwambia hawa watoto waende kwa baba yao siwahitaji atawapeleka na atarejea kwa unyenyekevu na kuendelea kuitumikia ndoa hadi mwanaume huruma inamuingia anamwambia walete tu watoto wako naona unasononeka kuwa mbali nao. Ila hawa wanawake wa sasa ukimwambia mimi sitaki kulea mtoto wako anakujibu tena kwa kiburi " kama hauwezi kulea mwanangu na kuishi nae mimi na wewe haitawezekana". Kubabako, mimi ndio nilikupelekea moto tukazaa huyo mtoto? Fala nini?
Peleka kwa mliyekatikiana nae kiuno. Mkiwa masistaduu tukiwasimamisha kuwaongelesha dharau kibao kazi kuchagua wanaume kama viatu. Mkisha zalishwa unaletea mtu ambaye si mtoto wake adili na changamoto za malezi, fala wewe utakula ulipopeleka mboga ama sivyo tii maelekezo nikisema sitaki kulea mtoto wa mtu usinilazimishe mimi ndie nitaebeba mzigo, wacha niamue kwa huruma yangu sio matakwa yako.
Ni bora huyu ambae nimeoa sijakuta ana mtoto hata akicheat nitajua kahaba ila sio umejifanya kuwa ni majeruhi wa kutendwa na wahuni halafu uje niletea unyang'au na nimekuchukua nimeacha mabinti wabichi wasio na watoto mtaani.