Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitawa tuh kama umekubali kua tutoto ta tatuDah! hali si shwari kabsa nimekaza nisimsaliti mama Umut lakni shetani naona nae kaongeza jtihada pia. Hii manzi inamiaka kama 22 na inawatoto wawili kazaa bandka bandua mtoto wa kwanza anamwaka kapata mimba nyingne tena, lakn kiukwel ni chuma haswa kabinuka fulan hv na nksema kabnuka ujue kabnuka kwel kama tipa la mchanga halaf portable na kasura ka monalisa. Kashepu kake kanfaa kupga style ya ubaya ubwela mwanzo mwsho, nachoogopa asje kunfanyia miziziology nikakosana na mama umut maana n majirani. USHAUR WENU NPIGE AU NSPGE
KulaDah! hali si shwari kabsa nimekaza nisimsaliti mama Umut lakni shetani naona nae kaongeza jtihada pia. Hii manzi inamiaka kama 22 na inawatoto wawili kazaa bandka bandua mtoto wa kwanza anamwaka kapata mimba nyingne tena, lakn kiukwel ni chuma haswa kabinuka fulan hv na nksema kabnuka ujue kabnuka kwel kama tipa la mchanga halaf portable na kasura ka monalisa. Kashepu kake kanfaa kupga style ya ubaya ubwela mwanzo mwsho, nachoogopa asje kunfanyia miziziology nikakosana na mama umut maana n majirani. USHAUR WENU NPIGE AU NSPGE
Kuna jamaa yangu pale Tulip eapoti tunamwitaga muarabu. Yeye anadai akikutana na kitoto kama hiki analamba kila kitu mpaka kamasi, unyayo, kucha na nywele anzigeuza kachumbali analia na ugali
Hiyo ngoooshaaa.Anatutoo tuwili
Wanaume wa dar kazi sana
inaelekea unapenda chipsi sana
Aah kmmke kitumbua
Sio vijembe au maneno makali ni ukweli na maneno ya direct kuhusu single mothers katika mitandao ya kijamii. Kuhusu wao kuolewa ndicho tunachowapa elimu wanaume wenzetu wanaoingia huo mkenge.Kumekuwa na vijembe vikali sana na maneno mabaya sana kuhusu single mom katika mitandao lakini katika jamii single mom wanaolewa sana na ndoa zao zinafuraha sana kikubwa ni kujitambua na kujua unataka nini, mimi nimeolewa naishi kwa furaha na baby wangu tunakosea wakati wa kwenda sio kurudi pia dunian hapa kila mtu anamadhambi yake hakuna mkamilifu hao wanaume wanaowaponda humu wengine mashoga wanapelekewa moto sasa si bora single mom kuliko idadi hii kubwa ya mashoga, watoto sio laana watoto ni baraka maisha ni fumbo huwezi kujua nani atakusaidia baadaye
Single mom's kama ulizaa na baba mtoto mkaachana kwanza move on,jitambue ukipata mwanaume mpende muheshimu muweke wazi kila kitu nini kinaendelea maisha yatakuwa safi
Mnaosema single mom kwan wamejizalisha unakuta kidume kizima kinasema single mom laan na yy katelekeza mtoto huko kwahiyo toto lako ni laan wanaume mjitambue wazee wa zamani walikuwa wanalea watoto na maisha yanaenda acheni ubaguzi dunia sio yenu finally uzeee kwisha
wangapi wameolewa sio single mom ila wanacheat mpaka wanaleta watoto ambao sio wa ndani ya ndoa humo ndani kwenu kunawaka moto hasira mnakuja kumalizia mtandaoni, au mliwaoa mabikra acheni ubaguzi nyie wanaume wachache
Wengi huwa wanaigiza upole ila hawana asili hiyo. Mwanaume haachi mwanamke mwenye tabia nzuri na anayejitambua kama mwanamke wa mtu.Wazee mmesikia, wengine mashoga na mnapelekewa moto. Kama kinywa cha mke kina uthubutu wa kutamka maneno kama haya huku umerelax sipati picha siku ukizinguana na huyo jamaa.
We umekutana nao wangapi wa hivyo ambao umethibitisha kuwa wapo kwenye ndoa na wanashiriki ngono ya kinyume na maumbile?Ni uongo wengine mpo kwa ndoa ila mabwabwa wanawake wengi wanalalamika mkae kwa kutulia
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Hii ni ya muda sana lakini ngoja nijibu vitu viwili hapa,
Kwanza unapaswa kujua hakuna single father
Pili unapaswa kujua kuwa mwanaume yoyote tangu anatungwa tumbomi mwa mamake ni husband material.
Tatu hakuna mwanaume anapendwa, mwanaume anaheshimiwa. Na hivyo kazi hiyo ya "kupenda" naturally ni yake na si ya mwanamke, mwanamke anapendwa na ndo anaingizwa kwenye mahusiano, mwanaume hapendwi na kuingizwa kwenye mahusiano.
Nne mwanamke yeyote anapenda "apendwe" aolewe azae walee wazeeke pamoja, mwanamke huyu huyu anaweza kubadili tabia muda wowote zitakazo mshinda mwanaume, hata hivyo ikifika hatua hiyo mwanamke ndo mwepesi kudai kuachana kuliko mwanaume.
NB. Kaa kwenye sehemu yako ya utiifu na utapendwa kuliko jojo na vitu vyote vitamu, hakunaga mkate mgumu mbele ya chai, utiifu wako ndo unamfanya mwanaume akupende zaidi, ila ukipindua meza wewe ndo upende lazima mahusiano hayo yatamegeka na utakuwa single tu.