Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Sijachanganganyikiwa!najibu kutokana na unavyoongea!Kama dunia ni ya mwanaume basi kusingeumbwa mwanamke!Acha kujitoa fahamu!
 
Single mothers HAWAHUKUMIWI KWA SABABU YA KUBEBA UJAUZITO /AU KULEA MTOTO MWENYEWE....

Wengi wana wa judge kwa tabia zao Zinazobadilika PSYCHOLOGICALLY jinsi wanavyo enenda katika mahusiano yao mapya, hapo ndipo athari za usingle mother huonekana na wengi huwa na hizo tabia common.
 
Mwanaume hazai, anazalisha, mkuu mbona kama huelewi mambo mengi.

Kuzaa sio kigezo cha kuolewa au kubaki ndoani, ndoa inahitaki mke mwema. Sio mashine ya kuzalisha watoto duniani
Sio mbegu zako unazopandikiza?Naona wewe ndio hunielewi!
 
Sijachanganganyikiwa!najibu kutokana na unavyoongea!Kama dunia ni ya mwanaume basi kusingeumbwa mwanamke!Acha kujitoa fahamu!

Si unaona ulivyochanganyikiwa, yaani dunia kwa vile ni ya wanaume basi wasiwepo ng'ombe sisi tule nyama na maziwa,
Lisiwepo jua ili litumulikie,
Ninyi wanawake mmeumbwa mumsaidie mwanaume kuwatalawa na kutawala dunia, hujui mambo madogo kama haya ndugu.

Wewe ni msaidizi wa mwanaume, sasa lazima utafute mwanaume wa kumsaidia, usipomjua ndio utakuja hapa kulalamika lakini hakuna wa kukusaidia
 
Na nyie lazima mtongoze si ni watu na akili zenu fungeni suruali zenu.Ni nyie mtie watu mimba ikisha muwaite malaya this is insanity 🀨
Mwanamme kutongoza ndio asili yake,ila MAAMUZI UNAYO WEWE.
 

Bora umekua mkweli mkuu... mwingine anakaza hapa ila alishuhudia au yupo kwenye picha za harusi ya mama na baba mzazi wa wadogo zake
 
Hakuna haja ya kulalamika, wewe jua tu, ukishakuwa single mother basi wewe ni mtumba (second handed woman, used), umeshatumika vibaya kingono, grade yako kimapenzi imeshashuka mnoo na 'mjane fulani' hivi wa mapema

Sasa kuhusu ni single mother yupi anajitambua, hilo ni suala lingine tofauti lenye kuitaji mada yake.
 
Kwa akili zao za memkwa ndio unaamini hivyo!alikutuma nani uwe single mother bitch uliokosa utamu wewe [emoji28]
Kwanini unatukana?Umeishiwa na maneno ya kuongea ama?ndo ujione kati yangu mimi na ww nani hana ufahamu na mdomo wako mchafu na sio ufahamu tu hata ustaarabu na busara huna.Hao single mothers wanaweza kuwa mama zako,dada zako na kuendelea limekugusa ehhh la mwanao!!Na litakukuta utanikumbuka!Mark my words we endelea tu kuchafua na kutumia wanawake!
 
Sijalalamika nimesema ukweli acheni kukandamiza wanawake watu wengine wamezaliwa na kulelewa na single mothers!Kama mtu akiwa amezaa ametumika hao walozaa kwenye ndoa hawajatumika?
 
Aisee huu uzi ni hatari sana ngoja ni sabusilaibu kabisa
 
uolewe ila iwe umefanya umalaya weee,umetoa mimba kibao, ila status yako iko juu kushinda mtu ambae amezaa...wanaume wengi hawana akili kutumia simple logic tuu..
 
uolewe ila iwe umefanya umalaya weee,umetoa mimba kibao, ila status yako iko juu kushinda mtu ambae amezaa...wanaume wengi hawana akili kutumia simple logic tuu..

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Alafu hao hao wasio na akili ndio wamezama pangoni pako, hii dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…