Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
- #41
Sijachanganganyikiwa!najibu kutokana na unavyoongea!Kama dunia ni ya mwanaume basi kusingeumbwa mwanamke!Acha kujitoa fahamu!Kama hayakuhusu, uliposema nilipooa ulikuwa unazungumzia nini au umechanganyikiwa?
Ale matunda yake wakati miti ipo mingi?
Mwanaume anauwezo wa kukuoa wewe na wenzako mia hivi, unadhani ukiolewa wewe wenzako wataolewa na nani?
Ukileta ujeuri unawekwa pembeni, ukikataa kuwa mke mwenza unawekwa pembeni, hujaumbwa kutushauri au kutupangia cha kufanya.
hujui dunia ni yamwanaume?
Wewe umeletwa kumsaidia tuu mwanaume, hivyo mwanaume anaweza akakubadilisha wewe akikuona hamnazo, ndio maana kuna talaka