Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #61
Unaweza ukawa umemkuta bikira na bado akatiwa mimba na jirani yako na ukalea mtoto si wako.Usijione mjanja sana!Mke wangu nimekuta bikra/Password, nikaitoa nikaweka password yangu, wewe najua huna hata password wala msimbo
Tangu lini bikra ikawa pango? Hii ndio naisikia leo kwako 😀 😀 😀 😀 😀 , umechanganyikiwa kweli
Unaweza ukawa umemkuta bikira na bado akatiwa mimba na jirani yako na ukalea mtoto si wako.Usijione mjanja sana!
hahahahahahah utadanganya wenzio,unasema wenzio wana pango wakati una pango lako ndani?? hujitambui wewe
Kwanini unatukana?Umeishiwa na maneno ya kuongea ama?ndo ujione kati yangu mimi na ww nani hana ufahamu na mdomo wako mchafu na sio ufahamu tu hata ustaarabu na busara huna.Hao single mothers wanaweza kuwa mama zako,dada zako na kuendelea limekugusa ehhh la mwanao!!Na litakukuta utanikumbuka!Mark my words we endelea tu kuchafua na kutumia wanawake!
Nitaendelea kuwadanganya hivyo hivyo mpaka nitokomeze mizoga yote
hihiiiii ndivyo unavyojidanganya,hakuna unalofanya wala utakalofanya, hio kazi uliyojipa unajichosha bure tu,hata wanaume wenzio watakua wanakuona punguani...
Punguani ni anayekula mzoga
kama vile wewe unavyokula mzoga wako
hahahahahh Absolute!Ni sawa, kama ninakula mzoga mimi Punguani mara mia moja
Kamwe hata ninngekuwa marehemu siwezi kula mzoga, ipo hivyo,hahahahahh Absolute!
Kamwe hata ninngekuwa marehemu siwezi kula mzoga, ipo hivyo,
Labda huyo binti awe amebakwa ndio atastahili huruma ya jamii. Hawa wanaokodiwa bodaboda tunawaona na wanakwenda kuliwa huko magetoni na guest house kizembe kwa viofa vya chips kuku?!Andameni na wanaume pia kwani hao wanawake walijitia mimba wenyewe??Muwaseme wote sio upande mmoja alaaa!!
Wewe pambana na wanawake, wakikaza wasitolewe bikra hadi ndoa utakuja kunambia hapa..... Wewe unadhani aliyeiumba pale alikuwa ana maana gani....?!Usihalalishe uzinzi kwa wanaume!Uzinzi ni uzinzi tu!!
Hivi mtu anahonga pesa za mamilioni ili apewe tu mchezo, akiambiwa akajitambulishe na kufuata taratibu ili apewe mwanamke ambaye hajawahi kuguswa na mwanaume yoyote unadhani hiyo kwake itakuwa ni raha ya aina gani?!Huyo mwanaume hakujua na yeye kama ana mwanamke wake atumie kinga akifanya ufirauni wake?
Huyu anatujaribu sisi sijui wanafikiria kila mtu katoka familia zisizo na discipline.....?!Uzinzi ni uzinzi ndio lakini madhara ya uzinzi ni tofauti baina ya mwanamke na mwanaume.
Nimekuuliza anayebeba mimba ni nani kati ya me na ke?
Anayezaa kwa uchungu ni me au ke?
Wanawake wanaandamwa kwa sababu wao ndio wanaoathirika zaidi kuliko wanaume.
Wewe ukipata familia ndio utajua ni kwa nini mtoto wa kike anakuwa chini ya uangalizi zaidi kuliko mtoto wa kiume, hata muda wa kurudi nyumbani mtoto wa kike lazima alimitiwe tofauti na dume