Hivi mtu anahonga pesa za mamilioni ili apewe tu mchezo, akiambiwa akajitambulishe na kufuata taratibu ili apewe mwanamke ambaye hajawahi kuguswa na mwanaume yoyote unadhani hiyo kwake itakuwa ni raha ya aina gani?!
Kwa namna unaongea ni as if mtoto wa kike ni boya na hana akili kama nyumbu. Hivi wewe na akili zako, hata misemo inasema kila uchao, kuwa mume wa mtu ni sumu unadhani wanamaanisha ni sumu ya panya.....?!
Mtoto wa kike akipewa elimu ya kulinda utu wake na kujua namna ya kupata mwenza sahihi huu upumbavu wa kuwa single mother utaisha.....
Nyie mliwafundisha kusema NO kukataa wanaume wakawa wanakataa hata wale ambao MUNGU amewaletea.....
Mlitakiwa kuwafunxa kusema NO ya kukataa kutumika kama bidhaa inayotakiwa kuwaniwa sokoni.....
Leo binti ukimfuata kistaarabu dada habari naomba kuzungumza nawe anakubalasa..... Ukitafuta namba yake kumuomba ridhaa ya kuja kwao ujitambulishe maringo kibao.
Akitokea bishoo au mume wa mtu na Crown anamng'oa kilaini na anaenda kumla siku hiyo hiyo.....
So don't tell this nonsense kuwa mabinti hawajui kuwa wanatumika au wanaingia pabaya...... Wanafahamu na wanaweza jizuia...... Tatizo tamaa za kipumbavu na kutaka wepesi wa maisha kisa tu ana sura nzuri, ana muaonekano mzuri, anatako, ana miguu mizuri na kadhalika.