Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mwisho miaka 28Kuolewa mwisho miak mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho miaka 28Kuolewa mwisho miak mingapi?
KumbeMwisho miaka 28
Hakuna ukomo, ila kuzaa ukizidi miaka 30 UZAZI unawasumbua sana keKuolewa mwisho miak mingapi?
Kweli kabisaHakuna ukomo, ila kuzaa ukizidi miaka 30 UZAZI unawasumbua sana ke
Kuna katabia kapo hata sijui aliyekaanzisha nani aisee, ka kuamini kila mwanamke anataka kuolewa na ndio lengo au ndoto za maisha yake.
Utakuta wanaume wanamtongoza mwanamke akikataa wanaanza kusema anaringa kwa kuwa bado umri haujaenda, ukienda ataokota yoyote aliye mbele yake ili aolewe, wakati huo jua lishazama.
Wakikataa wanakutana na maneno kama; kalenda inaenda wewe changamka, unaringa wakati una miaka 30? Unaringa hujui mwanamke anazeeka haraka! Unaringa na jua lishazama? Endelea kuringa utakosa soko wewe! Una miaka miwili tu ya kupata mtoto hapo si uolewe?!
Kwani aliyewaambia huyo mwanamke anataka kuolewa nani? Tamaa zenu tu ndio zinawafanya muwapangie wanawake wakifika umri fulani waolewe, matokeo yake pressure wanayopewa wanakubali yoyote hata wasiomtaka.
Kwa hiyo mnataka binti ajizolee yoyote ili mradi kuuwahi umri? Kwanza nani kawaambia lazima kila binti aolewe? Kwani asipoolewa ataumwa au atakufa kwa kutokuolewa? Mwacheni dada wa watu atimize malengo yake, ataolewa hata na miaka 70 kama akitaka kuolewa. Kwani hakuna wanaoolewa na miaka 80?
Acheni kuwapa pressure ya ndoa wanawake kwa kigezo cha umri, nao wana malengo na ndoto zao za kutimiza kabla ya kuingia kwenye hizo ndoa.
Mkuu utaenda leba na myaka hamsini?Kuolewa mwisho miak mingapi?
Sumu haijaribiwi kwa kuionja. Remember thatNawajua Wamama kede kede wameolewa kwenye 40s, 50s, 60s.... hakuna kikomo cha Ndoa tena kwenye Uzee Wanaume ndio wanahitaji zaidi Wanawake.
Ila suala la Kuzaa kama Mwanamke anataka watoto ni bora azae mapema maana baada ya 35 uzazi unaanza kuleta mushkeli.
Kwann umeniuliza hivoMkuu utaenda leba na myaka hamsini?
Mwanamke aolewe ktk umri wa miaka 70 ama 80 ili afanye nn kwenye ndoa wakati hata uke unakuwa umejifunga kwa msinyao, mayai yashaisha, siku zake hakuna tena na mgegedo hauwezekani?ataolewa hata na miaka 70 kama akitaka kuolewa. Kwani hakuna wanaoolewa na miaka 80?
Ktk umri wa miaka 40, 50 na 60 mwanamke hazai, hagegedwi na Wala hana mvutoNawajua Wamama kede kede wameolewa kwenye 40s, 50s, 60s....
Unakoma kutoa mayai ya kiumbe hai ufikapo 45yrs. Kila kitu kipo numbered my sister yaani ukibisha Basi utakuwa unabishia uimbaji wa Aliye juu mbinguni.Kuna katabia kapo hata sijui aliyekaanzisha nani aisee, ka kuamini kila mwanamke anataka kuolewa na ndio lengo au ndoto za maisha yake.
Utakuta wanaume wanamtongoza mwanamke akikataa wanaanza kusema anaringa kwa kuwa bado umri haujaenda, ukienda ataokota yoyote aliye mbele yake ili aolewe, wakati huo jua lishazama.
Wakikataa wanakutana na maneno kama; kalenda inaenda wewe changamka, unaringa wakati una miaka 30? Unaringa hujui mwanamke anazeeka haraka! Unaringa na jua lishazama? Endelea kuringa utakosa soko wewe! Una miaka miwili tu ya kupata mtoto hapo si uolewe?!
Kwani aliyewaambia huyo mwanamke anataka kuolewa nani? Tamaa zenu tu ndio zinawafanya muwapangie wanawake wakifika umri fulani waolewe, matokeo yake pressure wanayopewa wanakubali yoyote hata wasiomtaka.
Kwa hiyo mnataka binti ajizolee yoyote ili mradi kuuwahi umri? Kwanza nani kawaambia lazima kila binti aolewe? Kwani asipoolewa ataumwa au atakufa kwa kutokuolewa? Mwacheni dada wa watu atimize malengo yake, ataolewa hata na miaka 70 kama akitaka kuolewa. Kwani hakuna wanaoolewa na miaka 80?
Acheni kuwapa pressure ya ndoa wanawake kwa kigezo cha umri, nao wana malengo na ndoto zao za kutimiza kabla ya kuingia kwenye hizo ndoa.
Kufarijiana ukiambiwa utuletee hapo hao watu unaanza kuhaha.Nawajua Wamama kede kede wameolewa kwenye 40s, 50s, 60s.... hakuna kikomo cha Ndoa tena kwenye Uzee Wanaume ndio wanahitaji zaidi Wanawake.
Ila suala la Kuzaa kama Mwanamke anataka watoto ni bora azae mapema maana baada ya 35 uzazi unaanza kuleta mushkeli.
Pole sana kwa mawazo mgando, tatizo waafrika mnawaza ngono kila uchao ila elewa ndoa ni zaidi ya ngono kwa watu wenye umri wa utu uzima,Ktk umri wa miaka 40, 50 na 60 mwanamke hazai, hagegedwi na Wala hana mvuto
Wewe jamaa una tatizo la saikolojia, nakwambia hii kama mwanaJf mwenzio, tafuta msaada haraka,Kufarijiana ukiambiwa utuletee hapo hao watu unaanza kuhaha.