Kuna katabia kapo hata sijui aliyekaanzisha nani aisee, ka kuamini kila mwanamke anataka kuolewa na ndio lengo au ndoto za maisha yake.
Utakuta wanaume wanamtongoza mwanamke akikataa wanaanza kusema anaringa kwa kuwa bado umri haujaenda, ukienda ataokota yoyote aliye mbele yake ili aolewe, wakati huo jua lishazama.
Wakikataa wanakutana na maneno kama; kalenda inaenda wewe changamka, unaringa wakati una miaka 30? Unaringa hujui mwanamke anazeeka haraka! Unaringa na jua lishazama? Endelea kuringa utakosa soko wewe! Una miaka miwili tu ya kupata mtoto hapo si uolewe?!
Kwani aliyewaambia huyo mwanamke anataka kuolewa nani? Tamaa zenu tu ndio zinawafanya muwapangie wanawake wakifika umri fulani waolewe, matokeo yake pressure wanayopewa wanakubali yoyote hata wasiomtaka.
Kwa hiyo mnataka binti ajizolee yoyote ili mradi kuuwahi umri? Kwanza nani kawaambia lazima kila binti aolewe? Kwani asipoolewa ataumwa au atakufa kwa kutokuolewa? Mwacheni dada wa watu atimize malengo yake, ataolewa hata na miaka 70 kama akitaka kuolewa. Kwani hakuna wanaoolewa na miaka 80?
Acheni kuwapa pressure ya ndoa wanawake kwa kigezo cha umri, nao wana malengo na ndoto zao za kutimiza kabla ya kuingia kwenye hizo ndoa.
Unakoma kutoa mayai ya kiumbe hai ufikapo 45yrs. Kila kitu kipo numbered my sister yaani ukibisha Basi utakuwa unabishia uimbaji wa Aliye juu mbinguni.
Why umri wa kubalehe unajulikana upo eneo fulani from 11-15yrs, umri wa kuishi duniani uko numbered Tena kwenye maandiko.
Ke ambaye anazaa watt akiwa around 18-34 akafunga Ni tofauti na wewe ukianza kuzaa watt wako from 35-45 yaani watt wako hawatafanana. Hii Ni sayansi. Tafuta kitu kinaitwa mongolism ndio utajua.
Mie mke wangu nilimuoa akiwa 17yrs bado mbichi kabisa.
Yaani elewa hapa duniani kila kitu kipo numbered niambie nitakuonyesha, yaani hakuna kilicho bahati mbaya tu yaani kimejitokeza tu from nowhere.
Na kila kitu huwa una trade yaani unafanya kitu ili upate furaha and nothing else.
Hujapangiwa wewe kaa ukifika 50s ndio uanze kutafuta mchumba ndugu yangu.
Kuna muda wa mtt wa kukaa tumboni,kunyonya,kuota meno,yaani kila kitu kipo na hesabu na ndio Mana maandiko yanasema idadi ya nywele zako zinajulikana na tumeonywa tusipoteze muda wetu ovyo Mana tutakuja kuulizwa ama kuulipia huko mbinguni Ni sawa umepewa talanta Ila huifanyii kazi.
Jiulize why yai lako linatoka kila baada ya fixed days eg 26-31 ,jiulize why mbalamwezi inaizunguka dunia siku 28 na wewe tunasema akaenda mwezini,ama umeona mwezi wako ,jiulize why dunia inazunguka jua kwa siku 365.25/366.
Usipingane na uumbaji ama asili. Yaani jaribu kufanya utafiti tembea kila nchi na majiji yote duniani ukiwa wewe around 34-45na kabinti kabichi kabisa kapo around 17-25yrs utaona atakayekuwa anaitwa na kusalimiwa na wanaume zaidi. Yaani utaona mwenyewe yaani Mungu hakuwa mjinga kuumba iwe ivyo so don't question or to find the reason,you won't get it to satisfy your EGO or desire to make things to happen in your surroundings.
Ngoja nikuache Ila bishia ukweli kuwa sumaku inavuta chuma na sio mbao Kama unavyohoji hapa.
Thank you