Eeeeeh🤣😆Sasa kaka, afisa tehama halmashauri, au maendeleo ana posho gani nyingine? Tofauti na salalry
Afisa Tehama
-kuhalili mifumo
-ku-upload habari za miradi hlamshauri
-Zoezi la kuandikisha wapiga kura,I.T anaachajwe hapo
-seminars/orientation za mafunzo ya mifumo,e.g.MUSE/ESS/etc
afisa maendeleo ya jamii
-posho ya kutembelea makundi maalum
-posho ya kutembelea wajasiriamali
-posho ya kutembelea miradi ya uzalishaki ya halmashauri,sasa jiulizs halmashauri inakusanya bilioni 4 huko
NOTE
Changamoto ya ualimu ni kua 1.unahudumia watu wasiokua na pesa,na hata wazazi wa shule za serikali hawajui umuhimu wa elimu...
2.ukiwa mwalimu wewe clients wako ni wanafunzi tu-98%,wakati clinical officer tu anaweza hudumia hata mkuu wa wilaya hapo halmashauri
Yaani walimu wanaathiriwa sana na circle ndogo na networks isiyohamasisha