Kwanini mnawasakama walimu? Mbona wana mishahara mikubwa kuliko kada zingine?

Kwanini mnawasakama walimu? Mbona wana mishahara mikubwa kuliko kada zingine?

Wanalialia sana,halafu walio wengi ni waoga na hawajipendi.
Jambo linalopelekea waonekane wanyonge hata kama siyo.
 
Sasa hivi madili mengi na wao wanapata, seminar za walimu, kuandaa practical n.k. ambapo kuandaa practical ya siku 1 ni 500,000 kusimamia la saba na darasa la nne siku mbili, ni 500,000/ akienda seminar ya sequip si chini ya 1000,000/ mambo yanabadilika.
Je Hizo semina wanapata walimu wangapi kwa mwaka??????
Serikali iridushe TEACHING ALLOWANCE. Hizo semina unazo sema kama sio chawa wa mkuu wa shule au mratibu elimu kata hauendi ng'o. Madam wengi wameliwa kwa ajili ya hizo semina.

Walimu wanataka TEACHING ALLOWANCE, POSHO YA MAZINGIRA MAGUMU,
NA OVER TIME ALLOWANCE.
 
Back
Top Bottom