Kwanini mnawasakama walimu? Mbona wana mishahara mikubwa kuliko kada zingine?

Sasa kaka, afisa tehama halmashauri, au maendeleo ana posho gani nyingine? Tofauti na salalry
EeeeehπŸ€£πŸ˜†
Afisa Tehama
-kuhalili mifumo
-ku-upload habari za miradi hlamshauri
-Zoezi la kuandikisha wapiga kura,I.T anaachajwe hapo
-seminars/orientation za mafunzo ya mifumo,e.g.MUSE/ESS/etc
afisa maendeleo ya jamii
-posho ya kutembelea makundi maalum
-posho ya kutembelea wajasiriamali
-posho ya kutembelea miradi ya uzalishaki ya halmashauri,sasa jiulizs halmashauri inakusanya bilioni 4 huko
NOTE
Changamoto ya ualimu ni kua 1.unahudumia watu wasiokua na pesa,na hata wazazi wa shule za serikali hawajui umuhimu wa elimu...
2.ukiwa mwalimu wewe clients wako ni wanafunzi tu-98%,wakati clinical officer tu anaweza hudumia hata mkuu wa wilaya hapo halmashauri
Yaani walimu wanaathiriwa sana na circle ndogo na networks isiyohamasisha
 
Changamoto ya walimu ni wengi sana,hata wewe uwe rais hautoweza.......80% ya payroll ya bongo wamejaa walimu,.........ni rahisi sana kuongeza milioni 10 kwenye mishahara ya wabunge na bajeti isiyumbe kuliko kuongeza shilingi elfu 10 kwa walimuπŸ˜†πŸ˜†
 
Hapo mjini sana aisee
Kuna sehemu Mbeya huko tulienda na pick-Up,DFPA,tukampa lift Mzee na wajukuu zake kama wawili hivi,....kumshusha anatuuliza huyu anachinjwa baada ya muda ganiπŸ˜€πŸ˜€
 
Beana kuna hao ma afsa mifugo na uvuvi wale jamaa mishahara midogo ila wanapiga posho mwalim labda akusanye mishahara ya miezi kadhaa me nawajua wanasimamia minada ya ng'ombe na minada ya samaki yaan wanaendesha migari mwalim hawez miliki labda astaafu wallah nakwambia na nawajua n jamaa zangu wako mwanza leo hii uniambie wale sw na walim we utakuwa kiande
 
Kama wanamshahara mkubwa Kwa Nini maisha Yao huonekana kama ya mtu amejichokea?kumkuta mwalimu ana angalau ki ist ni wa kuitafuta Kwa tochi
Kua na IST mkuu ni kua na maisha? Ni prefference tu, kuna maticha wana nyumba mbili lakini hawana ist unadhani walishindwa kumiliki IST?
 
Weeeeeh mtoa mada acha kutusingizia, mishahara gani mikubwaπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Shida si mshahara tu, ila ugum wa kaz yako, majukum na aina ya familia zao, life style yao pia muda wanaospend kazini na hakunaga marupurupu uko CCM wasipobariki.

Hii ni jamii ya Watanzanua wanyonge kabisa kiwango cha uchochoro wa vumbi kuelekea mafanikio, WATETEE USIWAPE BICHWA.
 
Ni kwa sababu waalimu hawana mianya ya kuiba na sisi tumezoea wezi.
Ingekuwa kada zote haziibi sawa na walimu basi wangekuwa wanaheshimika nchi hii.
Nchi hii unakuta mtu mshahara miliom 4 kwa mwezi, ila kwa mwaka ana expenditure ya milion 400 pasipo biashara wala mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…