Kwanini mnawasakama walimu? Mbona wana mishahara mikubwa kuliko kada zingine?

Wanalialia sana,halafu walio wengi ni waoga na hawajipendi.
Jambo linalopelekea waonekane wanyonge hata kama siyo.
 
Je Hizo semina wanapata walimu wangapi kwa mwaka??????
Serikali iridushe TEACHING ALLOWANCE. Hizo semina unazo sema kama sio chawa wa mkuu wa shule au mratibu elimu kata hauendi ng'o. Madam wengi wameliwa kwa ajili ya hizo semina.

Walimu wanataka TEACHING ALLOWANCE, POSHO YA MAZINGIRA MAGUMU,
NA OVER TIME ALLOWANCE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…