PostGE2025 Kwanini mnawatetea sana Chadema, kwenye ishu ya Oktoba 29?

PostGE2025 Kwanini mnawatetea sana Chadema, kwenye ishu ya Oktoba 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Asante sana wachangiaji wote, maana wote mmefanya arguments za kimantiki.

Tatizo lipo kwa mleta mada ambaye bila shaka aweza kuwa sehemu ya wauaji au yupo kwenye kundi la wauaji, na sasa damu za marehemu zimemwondolea akili ya tafakari, ndiyo maana analeta hoja zilizopoteza weledi.
 
😅😅 mnatamani CDM isingekuwa imefungiwa na viongozi wake wasingekua kizuizini muwabebeshe zigo.

Kimewaramba pambaneni na hali yenu.

Btw, watu kuandamana /kufanya fujo sio ticket ya kuuawa kama kuku, hili kulikwepa pia hamuwezi.
Kweli mfa maji hutapatapa. Kuwahandle binadamu kunataka Hekima zaidi kuliko Mabavu!
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi kuhusu nafasi ya Chadema katika maandamano yaliyoacha athari mbaya kwa jamii. Kinachonitatiza ni kauli zinazoeleza kuwa chama hicho au viongozi wake hawakuhusika kabisa. Naomba ufafanuzi wa kina zaidi kuhusu hili.

Ni kweli kwamba mara kadhaa tumeshuhudia baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha au kushiriki maandamano katika nyakati tofauti. Hii inaibua swali: ni kwa nini kwenye matukio ya Oktoba wanajitenga au kutajwa kutohusika kabisa?

Wapo wanaosema chama kilikuwa na vikwazo au kilifungiwa, lakini katika zama hizi za teknolojia, uhamasishaji unaweza kufanyika kwa njia mbalimbali, ikiwemo mitandao ya kijamii. Tumeona pia viongozi wakifanya mikutano na mawasiliano ya kisiasa mtandaoni, jambo linaloonyesha kuwa uratibu wa shughuli fulani bado unawezekana hata bila mikusanyiko ya ana kwa ana.

Hoja yangu si kulaumu moja kwa moja, bali ni kusisitiza umuhimu wa uwazi na uwajibikaji. Ni vyema tukaacha mtazamo wa kuviweka vyama au viongozi kwenye nafasi ya kutokosea, kwani kama taasisi nyingine yoyote, vinaweza pia kuchangia changamoto zinazojitokeza—hasa kupitia kauli au mienendo yao.
Kutokuwa huru kwa chama kutokana na kufungiwa na kutokuwa huru kwa viongozi kunafifisha hoja.
 
Tume uchwara imekutana na Polepole na Captain Tesha.?

Kuna vitu vitawaacha uchi Chande na genge lake la wauaji.
 
Tbc kwanini hawakuripoti hiyo vurugu kama ilikuwepo kweli?

Ccm ifike pahala mjue kutumia akili za wake zenu sio kosa kisheria hasa za kwenu zinapofikia ukomo.
 
Wewe Kama mwanaume utakuwa ushaanza ushoga sio kwa kupindisha mambo hivi.
 
Back
Top Bottom