PostGE2025 Kwanini mnawatetea sana Chadema, kwenye ishu ya Oktoba 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Asante sana wachangiaji wote, maana wote mmefanya arguments za kimantiki.

Tatizo lipo kwa mleta mada ambaye bila shaka aweza kuwa sehemu ya wauaji au yupo kwenye kundi la wauaji, na sasa damu za marehemu zimemwondolea akili ya tafakari, ndiyo maana analeta hoja zilizopoteza weledi.
 
😅😅 mnatamani CDM isingekuwa imefungiwa na viongozi wake wasingekua kizuizini muwabebeshe zigo.

Kimewaramba pambaneni na hali yenu.

Btw, watu kuandamana /kufanya fujo sio ticket ya kuuawa kama kuku, hili kulikwepa pia hamuwezi.
Kweli mfa maji hutapatapa. Kuwahandle binadamu kunataka Hekima zaidi kuliko Mabavu!
 
Kutokuwa huru kwa chama kutokana na kufungiwa na kutokuwa huru kwa viongozi kunafifisha hoja.
 
Tume uchwara imekutana na Polepole na Captain Tesha.?

Kuna vitu vitawaacha uchi Chande na genge lake la wauaji.
 
Tbc kwanini hawakuripoti hiyo vurugu kama ilikuwepo kweli?

Ccm ifike pahala mjue kutumia akili za wake zenu sio kosa kisheria hasa za kwenu zinapofikia ukomo.
 
Wewe Kama mwanaume utakuwa ushaanza ushoga sio kwa kupindisha mambo hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…